Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

CHUCHU.jpg
 
Hapa namsikiliza Mbosso anaimba lete nchomeke, halafu kuna group la wanaume wako mbele kabisa karibu na steji wamepanga mstari wanakatika vibaya sana.
dah aise ..! anyway waendelee kumkatikia kiuno mboso kila mtu kwenye maisha ana namna yake ya kuonesha furaha japo yaweza kua aibu lakini ndio hivyo.
 
Back
Top Bottom