Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Naomba namba ya kamishna wa kodi tanzania.
 
Usiforce watu wawe kama wewe
We Ni hater wa WCB Hilo lipo wazi Wala usikatae Bora umchukie mtu Kama best naso utateseka moyo bahati mbaya unachuki na Wasanii wanaoendesha mziki wa bongo right now si unajikondesha moyo wako?
 
What the fvck is this?
 
Acheni chai, Aristote alipost video clips akiuza ticket za laji moja sasa hiyo flat rate ya milioni moja imetokea wapi?
 
Bila shaka utakuwa mfuasi wa Mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…