Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Hayo ni maoni yako
Nimepitia thread zako kumbe ni Hater wa Wcb....sishangai hizi comment[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepitia thread zako kumbe ni Hater wa Wcb....sishangai hizi comment[emoji3]
We Ni hater wa WCB Hilo lipo wazi Wala usikatae Bora umchukie mtu Kama best naso utateseka moyo bahati mbaya unachuki na Wasanii wanaoendesha mziki wa bongo right now si unajikondesha moyo wako?
Tiketi sold out afu kuna viti kbao vipo wazi, meko amewaathiri sn wabongo fix everywhere
Hiv hizo chuki zako kwa WCB unapata faida gani?una pata benzi au nyumba ya kifahari?Hayo ni maoni yako
AiseeKitaa kipi hicho maisha magumu[emoji848][emoji848]??
Wakati watu wanatoa 5m kwenda kumuona zuchu.
Kwani me Nina chuki kwa nani? Mpaka hivyoUsiforce watu wawe kama wewe
Hawa wajinga sana tumelipa hela mwisho wa siku burudani tunaipata kutoka kwa Hadija kopa na Jd halafu wanaisifu showKuna mwingine anasema show iliingiza billion 2,hawa majamaa wamepagawa
Cjamwita malikia na pia hata nandy mwenyewe umalikia atauckia kwenye bomba c kiwepesi ivyo apewe cheo hikoZuchu hawezi fanya mapinduzi. Nandy is more better bwana. Acheni kumwita Zuchu malkia wa bongoflavor.
Hakuna incentives kwa mwanamke kumpenda mwanamke mwenzie, kimsingi unakusudia wanawake watende ubaguzi wa kijinsiaKwaiyo mwanamke hatakiw kumpenda mwanamke mwenzie sio? We jamaa kavu sana
Hawa wajinga sana tumelipa hela mwisho wa siku burudani tunaipata kutoka kwa Hadija kopa na Jd halafu wanaisifu show
What the fvck is this?Kwanza niwape pongezi Sana Wasafi namna walivyopamba ukumbi ulikuwa very nice na pia setting up ya jukwaa ilikuwa zuri Sana ikiwemo graphics zilizotumika on scene wakati msanii anaperfomance ilikuwa Ni fire Sana.WCB wanajua how to brand msanii na hii ndio tofauti yao na wasanii wengine I believe after hiyo show itapandisha value ya Zuchu Mara dufu.
Perfomance
Performance ya mboso dah was amazing kwa kweli amefanya wonders performance na ana deserve zile hela nyingi alizotuzwa.I think mbosso ndio msanii aliyetunzwa hela nyingi Sana.
Combination performance ya mboso & Zuchu
Moja Kati ya performance iliyonikosha kweli kweli nilipenda chemistry walionayo.
Combination ya Zuchu & Jide commando
Kumekuwa namsemo kwamba wanawake wanachukiana Sana lakini ushirikiano wa Jide na zuchu unaweza kutengeneza kitu kwenye Huu mziki.Walifanya something special as if Kama walikuwa na ngoma ya pamoja hapo kabla.Honestly nimependa Sana performance yao ya pamoja kiasi ambacho mashabiki wakataka warudie kuperform Mara 3.
Performance ya Zuchu
Kwanza kabisa ana confidence yake kaperform as if ana muda mrefu kwenye game I did like dress code yake ila nimependa zaidi performance ya wimbo wake wa "Nisamehe" nimependa alivyo calm na hisia kubwa aliyotumia Kama wimbo ulivyo, ukichanganya na voice yake ilivyo mzuri you get something good.Pia ametuonesha uwezo wake pia wa kudance huku aliimba kwa baadhi ya wimbo zake was amazing.
Combination ya mama yake na Zuchu
Waliua Sana aisee mama na mtoto.
performance ya Lavalava
Katika show zake zote za Lavalava hii ndio best show kuliko zote nilizowahi kuona kutoka kwake mzee aliua.
Ushauri wangu kwa baadhi ya udhaifu
Kuna watu wengi walibaki nje ambao walikosa tickets Wasafi wangejitahidi kuweka scene kubwa nje ya Ukumbi walau waone Nini kinajili ndani kuliko walivyowaacha.
La pili hili Ni moja Kati ya tatizo kubwa la watanzania wengi na nilichoona Jana watu kutokuja kwenye tukio kwenye muda uliopangwa watu hawapendi kuzingatia muda wasafi walipanga tukio nzima lianze saa 1 usiku Cha ajabu hata Diamond mwenyewe na Zuchu walikuja saa 2 usiku badala ya saa 1 usiku.
UmezoelekaUtadhani hatukuona show,yaani nnasifia na kuonyesha mnalipwa kwa hii kazi,jukwaa ilikuwa nzuri lakini perfomance ya Zuchu ndo ya hovyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dahInahitaji miujiza kwa mtu mwenye uandishi wa namna hii kununua ticket ya 5Mil.
Picha ukiwa unatoa machozi plz,Combination ya Jide na Zuchu ilinitoa machozi.. Jide kakutana na mashetani wengi mnoo.. Lakni bado anasimama..
Hail to the Queen...
Bila shaka utakuwa mfuasi wa MboweChuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Picha ukiwa unatoa machozi plz,
[emoji23]
Umezoeleka