Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Sio tu kwamba mamaake pekee ni nguli km unavyodhani bali babaake pia ni nguli zaidi ya mama ake
Na mafanikio yote ya khadija kopa yapo nyuma ya babaake zuchu
Ambaye ni mwimbaji mtunzi na mpangilia ala za muziki na taaraby kari zote za merody mpk nzanzibar km hakukuwa na mkono wa mzee yusuph basi alikuwa huyo babaake zuchu na mmoja kati ya waloazisha eastafrca merody edhi ya kinyago cha mpapule na fisadi kiwembe znatrend
Hvyo dogo amezaliwa ndani ya muziki ila muziki wa taarabu km marehemu kakaake OMARY angekuwa hai na taarabu ingekuwa inatrend km miaka ile basi dogo angekuwa moto moto wa kuotea mbali
Babake zuchu anaitwa nan
 
Oooh!basi leo tuiangalie youtube,kuna mtu nimeona huko juu anasema inapatikana huko
Joanah Hiyo show ipo YouTube nenda kaangalie alafu njoo ulete mrejesho hapa alafu usisahau kunitag ndio utajua baadhi ya watu Wana chuki, huyo huyo jamaa anakasirika siku ukiisifia WCB Kama wamefanya Jambo zuri lakini ukimsifia Alikiba anapata amani ya moyo.
 
Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Kabisaaaaaaah yaani
 
Zuchu hana excuse kwa show mbovu ya jana. Amezaliwa na kulelewa na nguli wa performance Khadija Kopa, hata hajifunzi kwa mama yake? Miaka yote minne aliyosema alikuwa kwenye mafunzo huko usafini ndio utopolo gani ule?

Ieleweke nampenda sana mama yake, nimejikuta nampa sapoti sababu ya mama yake ila kaniangusha sana. Anapayuka kama yuko kilabuni ati anaperfom live na bendi!

Tazama mama yake aliposhika Mic, sawa uzoefu unachangia ila roho yangu ilisuuzika, she is the best. Ndiye pekee aliyeuchezesha ukumbi mzima bila kumsahau Jide huyu ni kiboko inafahamika, Mbosso na Dullah Makabila alinishangaza, anajua sana.
Umemalizaaaaaaah kabisaaaaaah Zuchu n mweupeeeeh tyuuh, wala hana lolote afadhari hata Kareni, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cjamwita malikia na pia hata nandy mwenyewe umalikia atauckia kwenye bomba c kiwepesi ivyo apewe cheo hiko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaaaaaah weeeeee khaaaaaaah
 
Nimeangalia hiyo show kiukweli alichemka sana, performance mbaya, hajui kucheza, kasimama kama mti mkavu, lol

Nasikia Sallam akajigeuza Mondi na Ray akaperform jukwaani.
[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babeeeeeh plz nakufa hukuuuuuh, naamini hata mkewe huko aliko alikuwa anacheka vituko show vya talle jana
 
ZUCHU ANA SURA NZITO SANA JAMANI. YAANI KILA NIKIMUANGALIA NAPATA KICHEFUCHEFU. MSURA MZITO KAMA UJI WA TOGWA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani mieeeh hapa sina mbavuuuh uwiiiiiiiiih
 
Nimetoka tena kumuangalia, aisee nani alimwambia aimbe live maana sauti inakwama kwama kama gari bovu,
[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaaaaaan tena land rover, zile za parokiani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
WCB sio kwa moto huu.inamaa baada kiingilio kuna wadau tena walienda kutunza.tena kuna wengine walibaki nje kwa kukosa ticket!!.
bongo pesa ipo bana ni juhudi tu yakuzitafuta.
Mambo mazuri kama haya yanapatikana usafini tu, wale wenzangu na mimi wasijaribu kuiga maana watachanika msamba.
 
Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Mawazo ya kipumbavu zaidi kuwahi kutokea.
Rayvan naye ni muislamu sio?
 
Back
Top Bottom