Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Ama kweli hisabati ni majanga Bongo. Common sense inasema fedha isingezidi 150M
Sasa 2B zitoke wapi kwa kiingilio cha huku 50?
Meza za 5 na 1M hazikuweza kuingiza zaidi ya 50M

Kupata 2B inahitaji watu 40,000 walipie elfu 50 kila mtu.
 
Kabisa Jide was much better kuliko huyu Zuchu. Ndo maana wasafi walikuwa wanasita kumsainisha kwa miaka minne. Believe me asingekuwa mtoto wa Khadija Kopa asingesainishwa pale WBC.Frankly speaking kuwa mtoto wa Khadija Kopa ndo kumemfanya ainginzwe WBC
Akili huna wewe.

Yani unamfananisha Jide aliyeanza muziki na kupanda jukwaani tangu miaka ya 90 na Zuchu ambaye hii ndio show yake ya kwanza
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] leo innoh kapewa kelbuuh za uso mchana kweupeeeeeeeh, anabaki kuhaha eti chuki msieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeew, show ya hovyooh kuwahi kutokea ndani ya ukumbi wa Mlimani City, jamaniiiiiiiih hadi talle akageuka Mond na Rayvan huhuhuhuh,
 
Yaaaaaan tena land rover, zile za parokiani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Parokiani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316]
Yaani kila nikipata wasaa wa kuangalia ile show nazidi kupata kituko kipya,
Wanatakiwa wakadai milions zao sio kwa upuuzi ule walai,
Au babe unasemaje??? Lol
 
Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Rubi hawezi sajiliwa na lebo inayojielewa sababu mwenyewe hajielewi, hana discipline.
 
Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Ruby ana kiburi, na lugha chafu mood swings zake ni noma
 
Back
Top Bottom