Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 862
- 1,549
Hivi 🤒🤒haipo kweli hapo?Hili confidence si la dunia hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi 🤒🤒haipo kweli hapo?Hili confidence si la dunia hii
Kwani shida iko wapi?Maana tatizo mmempa Nina la malkia wa bongo flavor while she is not. Hafiki hata robo kwa Ruby,achilia mbali kwa Nandy.
It is the fvck which fvcks you.What the fvck is this?
Ni wajinga pekee ndio hawapendi kukosolewaTatizo wengi humu watu wanasupport kwa kuangalia team flani ukisema ukweli wanasema una chuki
Akili huna wewe.Kabisa Jide was much better kuliko huyu Zuchu. Ndo maana wasafi walikuwa wanasita kumsainisha kwa miaka minne. Believe me asingekuwa mtoto wa Khadija Kopa asingesainishwa pale WBC.Frankly speaking kuwa mtoto wa Khadija Kopa ndo kumemfanya ainginzwe WBC
Ni wajinga pekee ndio hawapendi kukosolewa
Parokiani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316]Yaaaaaan tena land rover, zile za parokiani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bila shaka utakuwa mfuasi wa Mbowe
Zuchu anafaa kuimba taarabu,bongo flavor hamna kitu.Akili huna wewe.
Yani unamfananisha Jide aliyeanza muziki na kupanda jukwaani tangu miaka ya 90 na Zuchu ambaye hii ndio show yake ya kwanza
Atakuwa kama Queen darling tu. Nguvu ya soda.Kwani shida iko wapi?
Endelea na huyo Ruby na Nandy tuachie Zuchu wetu ,usiteseke sana.
Something I even dont know,how can it fvck with my brain?It is the fvck which fvcks you.
Kwani shida yako nini?Atakuwa kama Queen darling tu. Nguvu ya soda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Samahani yule mwanao ulie sema ana vaa heleni kama sh0ga. ana hali gani saivi
Rubi hawezi sajiliwa na lebo inayojielewa sababu mwenyewe hajielewi, hana discipline.Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Ruby ana kiburi, na lugha chafu mood swings zake ni nomaChuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Mnampa sifa asizokuwa nazo. No wonder kina Naseeb wamemgandisha kwa miaka minne. Angekuwa bora wasingemkalisha miaka minne. Jina la mama yake limemsaidia. Hana kipaji ni vile anajiforce. Pamoja na kujiforce which is good,anaishia kuwa average tu.Kwani shida yako nini?
Wenyewe wanalijua hilo.usafini ni usafi tu.Mambo mazuri kama haya yanapatikana usafini tu, wale wenzangu na mimi wasijaribu kuiga maana watachanika msamba.