Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Oooh!basi leo tuiangalie youtube,kuna mtu nimeona huko juu anasema inapatikana huko
Babake zuchu anaitwa nanSio tu kwamba mamaake pekee ni nguli km unavyodhani bali babaake pia ni nguli zaidi ya mama ake
Na mafanikio yote ya khadija kopa yapo nyuma ya babaake zuchu
Ambaye ni mwimbaji mtunzi na mpangilia ala za muziki na taaraby kari zote za merody mpk nzanzibar km hakukuwa na mkono wa mzee yusuph basi alikuwa huyo babaake zuchu na mmoja kati ya waloazisha eastafrca merody edhi ya kinyago cha mpapule na fisadi kiwembe znatrend
Hvyo dogo amezaliwa ndani ya muziki ila muziki wa taarabu km marehemu kakaake OMARY angekuwa hai na taarabu ingekuwa inatrend km miaka ile basi dogo angekuwa moto moto wa kuotea mbali
Joanah Hiyo show ipo YouTube nenda kaangalie alafu njoo ulete mrejesho hapa alafu usisahau kunitag ndio utajua baadhi ya watu Wana chuki, huyo huyo jamaa anakasirika siku ukiisifia WCB Kama wamefanya Jambo zuri lakini ukimsifia Alikiba anapata amani ya moyo.Oooh!basi leo tuiangalie youtube,kuna mtu nimeona huko juu anasema inapatikana huko
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] haya bhanaaahWote hao wawili hawakuperfom wamewapa nafasi wengine.
Kabisaaaaaaah yaaniChuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Umemalizaaaaaaah kabisaaaaaah Zuchu n mweupeeeeh tyuuh, wala hana lolote afadhari hata Kareni, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Zuchu hana excuse kwa show mbovu ya jana. Amezaliwa na kulelewa na nguli wa performance Khadija Kopa, hata hajifunzi kwa mama yake? Miaka yote minne aliyosema alikuwa kwenye mafunzo huko usafini ndio utopolo gani ule?
Ieleweke nampenda sana mama yake, nimejikuta nampa sapoti sababu ya mama yake ila kaniangusha sana. Anapayuka kama yuko kilabuni ati anaperfom live na bendi!
Tazama mama yake aliposhika Mic, sawa uzoefu unachangia ila roho yangu ilisuuzika, she is the best. Ndiye pekee aliyeuchezesha ukumbi mzima bila kumsahau Jide huyu ni kiboko inafahamika, Mbosso na Dullah Makabila alinishangaza, anajua sana.
Kwani unateseka?Na mastaa wote waliojazana mule walikua invited bure kabisa. Bongo hamna shoo za mamilion kama kiingilio halafu muziki wenyewe wa kwenye CD
Kwani unateseka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaaaaaah weeeeee khaaaaaaahCjamwita malikia na pia hata nandy mwenyewe umalikia atauckia kwenye bomba c kiwepesi ivyo apewe cheo hiko
Wewe ulikuwa unatakaje?Na mastaa wote waliojazana mule walikua invited bure kabisa. Bongo hamna shoo za mamilion kama kiingilio halafu muziki wenyewe wa kwenye CD
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babeeeeeh plz nakufa hukuuuuuh, naamini hata mkewe huko aliko alikuwa anacheka vituko show vya talle janaNimeangalia hiyo show kiukweli alichemka sana, performance mbaya, hajui kucheza, kasimama kama mti mkavu, lol
Nasikia Sallam akajigeuza Mondi na Ray akaperform jukwaani.
[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani mieeeh hapa sina mbavuuuh uwiiiiiiiiihZUCHU ANA SURA NZITO SANA JAMANI. YAANI KILA NIKIMUANGALIA NAPATA KICHEFUCHEFU. MSURA MZITO KAMA UJI WA TOGWA.
Yaaaaaan tena land rover, zile za parokiani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimetoka tena kumuangalia, aisee nani alimwambia aimbe live maana sauti inakwama kwama kama gari bovu,
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo mazuri kama haya yanapatikana usafini tu, wale wenzangu na mimi wasijaribu kuiga maana watachanika msamba.WCB sio kwa moto huu.inamaa baada kiingilio kuna wadau tena walienda kutunza.tena kuna wengine walibaki nje kwa kukosa ticket!!.
bongo pesa ipo bana ni juhudi tu yakuzitafuta.
Jamaa akitoa maoni yake unaona ana chuki!!?Mzee mbona una chuki sana
"Hivi ilikua lazima kuongea lugha ya malkia au ndio changamsha genge"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu aliyemvalisha Zuchu nguo za stejini anatakiwa asilipwe pesa yote, hasa ile pyjama nyeupe [emoji23][emoji23]
Mawazo ya kipumbavu zaidi kuwahi kutokea.Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.