hakika.ukiishafanikiwa kuwa na biln 5 bank,hata muda wa kukaa nyumbani uangalie movies kwenye tv yako ya milion 14 hutakuwa nao.Hao watu hawasikilizi Bongo flavor
weka mfano wa hao madogo hata wawili tu.Mkuu million 5 unaona ni nying? Kwa mtu mweny pesa hiyo ni hela mbuzi tu
Alaf kwa Mo mbna umeenda mbal..naongelea madogo tu wa mtaan hizo million 5 wapo wanaingiza kwa lisaa na wanskiza bongo flavour vzr tu... Mkuu Dunia ya sasa sio Kama ya zaman..hiyo 5M nying kama unasubr mshahara
Sasa nikitaja majina utawajuaje..We siku karbu mtaani mkuu...nitakuonyesha wote ukitaka... unachotakiwa kujua Watu wana hela...sio kila mtu tagubavu[emoji3]weka mfano wa hao madogo hata wawili tu.
Hahahah hii inachoma sana jamani.Ukiona kiingilio cha milioni 5 haukiwezi.
Jua HAUJAWEKEWA WEWE.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Comment imeniumiza moyo hii mpaka sio vizuriMkuu million 5 unaona ni nying? Kwa mtu mweny pesa hiyo ni hela mbuzi tu
Alaf kwa Mo mbna umeenda mbal..naongelea madogo tu wa mtaan hizo million 5 wapo wanaingiza kwa lisaa na wanskiza bongo flavour vzr tu... Mkuu Dunia ya sasa sio Kama ya zaman..hiyo 5M nying kama unasubr mshahara
Exactly mkuu...ndiomana nikamwambia hyo million kuna watu wanaingza kwa saa..wengine kwa siku..Amini usiamini tickets zote zitaisha, kuna mambo yanashangaza sana. Kuna watu hiyo mil 5 ni kama elfu 5 tu kwao.
Usiumie mkuu..hii comment ikutie moyo tu wakupambana ...Comment imeniumiza moyo hii mpaka sio vizuri
Hahahah hii inachoma sana jamani.
nedna kwenye website ya Barcelona angalia game yao na Napoli bei ya tiketi shngapi ???lizuri kinagharama aisee..unataka waweke sh2000 mzunguko au tukueleweje mleta m,adaElf 50 au laki 1 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaeleweka, ila million 5 aise kwani naenda kumuona Niki Minaj au?
Zuchu yuko overpriced
asante sana lazima utakuwa una masters ya philosophy..saf sanaHata uwekewe kiingilio sh 500.
Kama hauna bado utaona wameweka kiingilio kikubwa.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
kwan ww ulivopata mtoto wa kwanza mbona ulienda kanisani na ukatoa ela ya kushukuru kwani hukuona bar au ilikuwaje???kila mtu anapenda kufanya anachopenda mkuuAiseee kwa muziki gani. Kama ni kushukuru makanisa na misikiti ipo wakator hizo sadaka au mahospitalin kuna wahitaji wengi tu
mshahara au kama anasubili ujira wake wa kubeba matofaliMkuu million 5 unaona ni nying? Kwa mtu mweny pesa hiyo ni hela mbuzi tu
Alaf kwa Mo mbna umeenda mbal..naongelea madogo tu wa mtaan hizo million 5 wapo wanaingiza kwa lisaa na wanskiza bongo flavour vzr tu... Mkuu Dunia ya sasa sio Kama ya zaman..hiyo 5M nying kama unasubr mshahara
kwan ww ulivopata mtoto wa kwanza mbona ulienda kanisani na ukatoa ela ya kushukuru kwani hukuona bar au ilikuwaje???kila mtu anapenda kufanya anachopenda mkuu
usilazimishe tango liwe tikitiki maji
kumbe huna mtoto sasa kaa kimya swineLini hio niliyoenda kanisani. Hebu nikumbushe ni kanisa gani hilo?
Misukule bana