mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
hakika.ukiishafanikiwa kuwa na biln 5 bank,hata muda wa kukaa nyumbani uangalie movies kwenye tv yako ya milion 14 hutakuwa nao.Hao watu hawasikilizi Bongo flavor
kuna jamaa yangu alikuwa anaenda kwa boss wake kila siku anakuta music system kubwa na tv ya maana ila wa kuwasha aangalie hayupo.