Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Mkuu million 5 unaona ni nying? Kwa mtu mweny pesa hiyo ni hela mbuzi tu

Alaf kwa Mo mbna umeenda mbal..naongelea madogo tu wa mtaan hizo million 5 wapo wanaingiza kwa lisaa na wanskiza bongo flavour vzr tu... Mkuu Dunia ya sasa sio Kama ya zaman..hiyo 5M nying kama unasubr mshahara
weka mfano wa hao madogo hata wawili tu.
 
Mkuu million 5 unaona ni nying? Kwa mtu mweny pesa hiyo ni hela mbuzi tu

Alaf kwa Mo mbna umeenda mbal..naongelea madogo tu wa mtaan hizo million 5 wapo wanaingiza kwa lisaa na wanskiza bongo flavour vzr tu... Mkuu Dunia ya sasa sio Kama ya zaman..hiyo 5M nying kama unasubr mshahara
Comment imeniumiza moyo hii mpaka sio vizuri
 
Kweli tupo kwenye uchumi wa kati chuchu yuko overrated ili wamtumia
 
Elf 50 au laki 1 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaeleweka, ila million 5 aise kwani naenda kumuona Niki Minaj au?

Zuchu yuko overpriced
nedna kwenye website ya Barcelona angalia game yao na Napoli bei ya tiketi shngapi ???lizuri kinagharama aisee..unataka waweke sh2000 mzunguko au tukueleweje mleta m,ada
 
Aiseee kwa muziki gani. Kama ni kushukuru makanisa na misikiti ipo wakator hizo sadaka au mahospitalin kuna wahitaji wengi tu
kwan ww ulivopata mtoto wa kwanza mbona ulienda kanisani na ukatoa ela ya kushukuru kwani hukuona bar au ilikuwaje???kila mtu anapenda kufanya anachopenda mkuu

usilazimishe tango liwe tikitiki maji
 
Mkuu million 5 unaona ni nying? Kwa mtu mweny pesa hiyo ni hela mbuzi tu

Alaf kwa Mo mbna umeenda mbal..naongelea madogo tu wa mtaan hizo million 5 wapo wanaingiza kwa lisaa na wanskiza bongo flavour vzr tu... Mkuu Dunia ya sasa sio Kama ya zaman..hiyo 5M nying kama unasubr mshahara
mshahara au kama anasubili ujira wake wa kubeba matofali
 
Lini hio niliyoenda kanisani. Hebu nikumbushe ni kanisa gani hilo?

Misukule bana

Back
Top Bottom