Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Mimi ndo diamond lakini nipo kimya nimemute nawazoom tu ngoja nimalize. Kuongea na zuchu harafu nije niwaambie bei ya mapato halisi🤪🏃
 
Duuh toka nimjue mondi na show zake hajawah ingiza pesa iyo per show ila zuchu kaingiza.... Ama kweli na nyota iendelee kung'ara
 

Mbona rayvanny ni mkristo na kasainiwa wasafi? Ruby sijui kama kuna manager atamuweza yule, ana dharau sana kwa waliomtangulia.
 
Mi natamani kuisikia japo songi moja tu la taarabu toka kwake...
 
Hongera sana Zuchu umejitahidi sana kwa sababu ni mara ya kwanza!

Kuna mambo bado yakufanyiwa kazi hasa uwezo wa kuimba live na ukabamba zaidi ...jana haikuwa nzuri lakini umejitahidi sana....

Mboso aliteka show ya Zuchu ,kusema ukweli Mboso anaweza kuwa msanii mwenye uwezo mkubwa ndani ya WCB mwenye uwezo mkubwa wa kuimba live na kucheza vizuri na mashabiki maana alivyopanda show aliiteka na ikageuka kama ya kwake!

Nampongeza sana Diamond kwa uwekezaji mkubwa sana kwa wasanii hawa najua kwa maandalizi ya show ya Zuchu zaidi 50+Million zimekwenda hivyo watu wasiwe wanashangaa Diamond anapo wadai hela nyingi wakivunja mikataba !


Halafu Diamond anapaswa pia kuachana na kugawa ticket za bure kwa so called mastaaaa kwani ili kweli muziki ulipe ni watu wengi wanapaswa kuchangia sio watu wengi wanasubiri ticket za bure....

Inabidi ticket za bure zisizidi thelathini maana jana karibu asilimia 50 ya ticket zilikuwa za bure kwa watu maalum au mastaa! Tukitaka kutengeneza muziki unaolipa lazima tuwajengee watu tabia ya kulipia show kama hizi!


All in All Zuchu amejitahidi lakini bado anatakiwa kujifunza zaidi bila shaka kawaona Jide na Mbosso
 
Pumbav angalia nimejiunga lini jf taahira wewe
 

Mkuu Nifah usikatishwe tamaa haujaongea uongo kila mtu ameona show....Zuchu amejitahidi lakini bado anahitaji kujifunza kutoka kwa show za kina Jide Na Mboso! Kifupi kama ni mdau wa muziki tukiacha ushabiki ni kwamba Zuchu amejitahidi lakini haikuwa show kali kutoka kwake nafikiri bado swala la kuimba live na kuwaamsha mashabiki abahitaji kufunzwa!


To be frankly show yake ilitekwa na Mbosso
 
Duh...kwel wanawake hampendan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…