Vera ginger
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,458
- 1,887
Alikuwepo na washkaji zakeUchebe hakualikwa?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwepo na washkaji zakeUchebe hakualikwa?.
Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Mwanamke mzima una chuki kwa mwanamke mwenzako
Eti mume amjibu mkewe "Kwiooo" 🤣🤣🤣🤣🤣Alipoanza Yule Stand up comedian Mindevu sijui midevu Nikajua yajayo NI Utopolo....nikaona Bora niangalie Sherlock Holmes......Show ilikuwa upuuzi mtupu....Ati lava lava aliperform well dah sawa ...
Mtupiemo na tupicha basi ili na sie wa huku madongo kwinama tuonepoMtu aliyemvalisha Zuchu nguo za stejini anatakiwa asilipwe pesa yote, hasa ile pyjama nyeupe [emoji23][emoji23]
Anhaaa kumbeeeBeating Liverpool and Man city in 3 days May be these 3 days are the only light for Arsenal fans in these year [emoji23]
Ukisema ukweli utaonekana hater mkuu wacha tujifanye hatukuona showUtadhani hatukuona show,yaani nnasifia na kuonyesha mnalipwa kwa hii kazi,jukwaa ilikuwa nzuri lakini perfomance ya Zuchu ndo ya hovyo.
Acha tu usione unaweza patwa na kichefu chefu ikakuharibia weekend yako yote.Mtupiemo na tupicha basi ili na sie wa huku madongo kwinama tuonepo
😲😲Hatari sanaAcha tu usione unaweza patwa na kichefu chefu ikakuharibia weekend yako yote.
You just asked....are you on alzheimers?I didn't ask!
Pumbav angalia nimejiunga lini jf taahira weweSijajua JF umejiunga lini humu kulikuwa na kelele Harmonize kufanana na Diamond threads mia kidogo,kuna watu humu JF ambao hata leo wapo wanamponda Zuchu walisema Harmonize hatofika mbali,hata Diamond kipindi fulani akihojiwa alitaka kukata tamaa baada ya hizi kelele ya kwamba yy sauti yake inafanana na Harmonize na kuna watu wakathubutu kusema anapoteza hela yake,ila Babutale ndiye walikuwa wanamshauri amvumilie Harminize.Hizi kelele kumuhusu Harmonize humu zilidumu karibia miaka miwili humu JF.
Leo hii Harmonize yule pale,wale walio mponda leo wana mkubali na kumlalamikia Mondi alikuwa ana mnyonya,wamesahau nguvu ,hela na mda aliowekeza kwake.
So hata huyo Zuchu ana miezi minne kwenye game bado ana muda mwingi wa kujifunza,so experience inapatikana kwa kukosea,kugundua ulipo kosea ,kurekebisa kosa ili kesho husikosee tena.
Sawa Pumbav.Pumbav angalia nimejiunga lini jf taahira wewe
Bro nimeshangaa sana kuonekana ni mwenye chuki ilhali nimeshasema namsapoti dogo.
Kuna watu bado wapo kwenye ule upuuzi wa uteam sijui nini ambao kwangu hivi sasa ni ushamba tu, mambo kama haya ndiyo yanayosababisha wengine tuwe watazamaji tu wa JF siku hizi.
You missed
Duh...kwel wanawake hampendanChuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.