Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Mimi ndo diamond lakini nipo kimya nimemute nawazoom tu ngoja nimalize. Kuongea na zuchu harafu nije niwaambie bei ya mapato halisi🤪🏃
 
Duuh toka nimjue mondi na show zake hajawah ingiza pesa iyo per show ila zuchu kaingiza.... Ama kweli na nyota iendelee kung'ara
 
Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.

Mbona rayvanny ni mkristo na kasainiwa wasafi? Ruby sijui kama kuna manager atamuweza yule, ana dharau sana kwa waliomtangulia.
 
Mi natamani kuisikia japo songi moja tu la taarabu toka kwake...
 
Hongera sana Zuchu umejitahidi sana kwa sababu ni mara ya kwanza!

Kuna mambo bado yakufanyiwa kazi hasa uwezo wa kuimba live na ukabamba zaidi ...jana haikuwa nzuri lakini umejitahidi sana....

Mboso aliteka show ya Zuchu ,kusema ukweli Mboso anaweza kuwa msanii mwenye uwezo mkubwa ndani ya WCB mwenye uwezo mkubwa wa kuimba live na kucheza vizuri na mashabiki maana alivyopanda show aliiteka na ikageuka kama ya kwake!

Nampongeza sana Diamond kwa uwekezaji mkubwa sana kwa wasanii hawa najua kwa maandalizi ya show ya Zuchu zaidi 50+Million zimekwenda hivyo watu wasiwe wanashangaa Diamond anapo wadai hela nyingi wakivunja mikataba !


Halafu Diamond anapaswa pia kuachana na kugawa ticket za bure kwa so called mastaaaa kwani ili kweli muziki ulipe ni watu wengi wanapaswa kuchangia sio watu wengi wanasubiri ticket za bure....

Inabidi ticket za bure zisizidi thelathini maana jana karibu asilimia 50 ya ticket zilikuwa za bure kwa watu maalum au mastaa! Tukitaka kutengeneza muziki unaolipa lazima tuwajengee watu tabia ya kulipia show kama hizi!


All in All Zuchu amejitahidi lakini bado anatakiwa kujifunza zaidi bila shaka kawaona Jide na Mbosso
 
Sijajua JF umejiunga lini humu kulikuwa na kelele Harmonize kufanana na Diamond threads mia kidogo,kuna watu humu JF ambao hata leo wapo wanamponda Zuchu walisema Harmonize hatofika mbali,hata Diamond kipindi fulani akihojiwa alitaka kukata tamaa baada ya hizi kelele ya kwamba yy sauti yake inafanana na Harmonize na kuna watu wakathubutu kusema anapoteza hela yake,ila Babutale ndiye walikuwa wanamshauri amvumilie Harminize.Hizi kelele kumuhusu Harmonize humu zilidumu karibia miaka miwili humu JF.

Leo hii Harmonize yule pale,wale walio mponda leo wana mkubali na kumlalamikia Mondi alikuwa ana mnyonya,wamesahau nguvu ,hela na mda aliowekeza kwake.

So hata huyo Zuchu ana miezi minne kwenye game bado ana muda mwingi wa kujifunza,so experience inapatikana kwa kukosea,kugundua ulipo kosea ,kurekebisa kosa ili kesho husikosee tena.
Pumbav angalia nimejiunga lini jf taahira wewe
 
Bro nimeshangaa sana kuonekana ni mwenye chuki ilhali nimeshasema namsapoti dogo.
Kuna watu bado wapo kwenye ule upuuzi wa uteam sijui nini ambao kwangu hivi sasa ni ushamba tu, mambo kama haya ndiyo yanayosababisha wengine tuwe watazamaji tu wa JF siku hizi.
You missed

Mkuu Nifah usikatishwe tamaa haujaongea uongo kila mtu ameona show....Zuchu amejitahidi lakini bado anahitaji kujifunza kutoka kwa show za kina Jide Na Mboso! Kifupi kama ni mdau wa muziki tukiacha ushabiki ni kwamba Zuchu amejitahidi lakini haikuwa show kali kutoka kwake nafikiri bado swala la kuimba live na kuwaamsha mashabiki abahitaji kufunzwa!


To be frankly show yake ilitekwa na Mbosso
 
Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Duh...kwel wanawake hampendan
 
Back
Top Bottom