Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Anaongea yeye aibu wanapata wengine,kuna watu mishipa ya aibu imepotea kabisa kama huyu
 
Kupanga ni kuchagua mzee

Muangalia Kiba,Khadija kopa na wengine wengi ukituonesha picha zao za uchi na ushetani wa kugombana na ndugu. hoja zako zotaanza kupata mashiko

Kupanga ni kuchagua.
 
Dunia ni mapito tu,bora mtu utafute riziki yako ya halali inayompendeza Mungu na kuishi kwa amani.
 
Umeongea fact sema shida wakina zuchu wapo humu kuteteana

Sijui hata wanaanzaje kubisha sasa
Yaan busy unamtetea shetani
Hiyo ni sector ya shetan 100%
Au mnataka kuniambia wanamtukuza mwenyez mungu hao
Usihalalishe ubaya Kisa umeshindwa kuutenda wema
 
All I know is the world is the world of physics
Usipofanya kazi hauli na unapaswa kuishi wewe kama wewe. Mawazo yako ni mawazo ya kimaskini na maskini tu ndio hufikiri hivyo.
Mzee Yusuph kaacha muziki kasema anarejea kwa muumba wake,njaa imempiga huko anarudi tena kwenye mziki.
Eti unasema mondi bora angekuwa anauza mitumba na wakati hao wauza mitumba nao wanatamani kuwa kama mondi.
Dini yenyewe ni biashara siku hizi
Mambo yote ni yale yale tu inabadilika tu lugha uwe mtu wa dini au lah.

Mafanikio yanaitwa baraka,
Matatizo yanaitwa majaribu,
Msaada unaitwa sadaka,
Na sote tunakufa kifo kimoja tu.

My take; do anything that is right for you as long as you don't steal from anyone and God will bless you.
 
Tutoleee utopolo wako hapa zabibu kiba
 
Vitu vingi alivyoviongea mtoa mada havina ushahidi Bali Ni hisia zake binafsi Hana tofauti na wale wanaosema matajili wengi wanafanya biashara ya madawa ya kulevya au ile kauli tulioaminishwa kwamba Ridhiwani kila Mali anamiliki yeye Mara tukaambiwa ana miliki station za mafuta hapa town, Mara ana miliki makampuni ya madini n.k
 
Mtoa mada ni kama maskini mmoja anayeamini Bakhressa ataenda motoni kwa sababu ya utajiri wake anasahau kuwa yeye anamiliki simu ya laki mbili huku kuna watu wengi tu wameshindwa wanalala njaa. So funny
 
Nuru na giza havijawahi kaa pamoja.I expected this kind of reaction. I think critical people have grasped something from I said.
 
Mawazo ya kimasikini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shishi maconfidence
Umeeona kimombo cha professor Zuwena kutoka Harvard? Mbunge mtarajiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka hadi tumbo limeuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…