[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaaan weee acha tyuuuh, mie tumbo limeuma had baaas.Nimecheka hadi machozi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
aliipenda mb..o zaidi...eti watoto wa2 wote aliwapata kwa kubakwa!.huyu mama anapenda sana shule sijui nani aliyemkatisha ndoto zake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 HatareeeeeUmeeona kimombo cha professor Zuwena kutoka Harvard? Mbunge mtarajiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka hadi tumbo limeuma.
Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Vipi Bashite kashinda Kigamboni ?Ruby is the best TZ hana mpinzani, vocal lake kawaacha mbali sana wengine
Tatizo Ruby ana kiburi, mgomvi, mjuaji, gubu na kijicho
Acha udini, na pia zuchu Ana miezi mitatu tu unamtolea povu, tuulia dawa ikuingie,. Rayvanny ujue nae alikaa miaka minne je na yeye unamzungumziaje..?Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
hao uliotaja ndo umenipoteza kabisa mkuu
Mbali na kile alichokifanya pale jukwaani siku ya tukio, binafsi ulitarajia nini cha ziada kutoka kwa Zuchu ambaye ni upcoming artist?She is right bro, Zuchu alizingua jana, show mbovu. Sema kwa vile ilikua ni shughuli yake ya kwanza tangu aanze muziki basi tumpe muda anaweza kujifunza na kubadilika kwenye shows zijazo.
Vipi Bashite kashinda Kigamboni ?
Acha udini, na pia zuchu Ana miezi mitatu tu unamtolea povu, tuulia dawa ikuingie,. Rayvanny ujue nae alikaa miaka minne je na yeye unamzungumziaje..?
Hahaha tz nzima hakuna watu waongo was kumfikia diamond platinum na jiweAma kweli hisabati ni majanga Bongo. Common sense inasema fedha isingezidi 150M
Sasa 2B zitoke wapi kwa kiingilio cha huku 50?
Meza za 5 na 1M hazikuweza kuingiza zaidi ya 50M
Kupata 2B inahitaji watu 40,000 walipie elfu 50 kila mtu.
Haha ha haahahaaaNaona mmekazania tu 'waache waache' sijaona sehemu mkisema 'tuache' kwahiyo tufunge mzozo tu kama hapa hao watu hawapo basi na huko duniani hawapo pia
Hiyo hela si bora nishushe pornstar bongo nimdinye wiki nzima
Yaaaan kuna mtu nmemuonesha hii clip kacheka hadi sauti imekata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hatareeeee
Mbali na kile alichokifanya pale jukwaani siku ya tukio, binafsi ulitarajia nini cha ziada kutoka kwa Zuchu ambaye ni upcoming artist?
• Wait please....Mkuu million 5 unaona ni nying? Kwa mtu mweny pesa hiyo ni hela mbuzi tu
Alaf kwa Mo mbna umeenda mbal..naongelea madogo tu wa mtaan hizo million 5 wapo wanaingiza kwa lisaa na wanskiza bongo flavour vzr tu... Mkuu Dunia ya sasa sio Kama ya zaman..hiyo 5M nying kama unasubr mshahara
Mkuu kama unaona milion 5 nyingi sana, niamin kuna watu million hiyo kwao sio kitu...labda tuweke kweny usd ndio utaona million 5 sio kitu..hizo ni usd 2160 tu• Wait please....
Hebu kuwa serious kijana, Hata sisi tunaishi mitaani kama wewe, labda kama wewe upo mitaa ya Paris, Milan, Shanghai au Newyork
Hakuna Mtanzania, awe tajiri au Masikini anayeona M5 ni kama elfu 5, never
Na Matajiri ndio wapo sensitive zaidi na pesa na wana uchungu hata na jero
Nimeishi mitaa mingi ya mikoa ya Tanzania, sijaona hao vijana unaosema kutoa Million 5 ni sawa na Elfu 5
Million 5 ni mtaji mkubwa sana
Tena kwa awamu hii sio Mimi tu ila hata wadau hapa hawaoni watu wa hivyo
Please mention their names and streets, ni akina nani hao?
Unaishi nao mtaa upi?
Ding.....Dong...