Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Hapana, usiweke kwenye US $, weka tu kwny sh. za kibongo Million 5 sio hela kidogo hata kwa tajiri.
 
Hapana, usiweke kwenye US $, weka tu kwny sh. za kibongo Million 5 sio hela kidogo hata kwa tajiri.
Nimeweka kweny usd coz kweny Tsh naona unashangaa sana mkuu...narudia hiyo hela kubwa kama huna hela mkuu...kama haumin mkuu.. basi tuishie hapa
 
Huko Buza unapokaa hakuna watu kama hao....lakini huku Kino hiyo ni hela mbuzi
 
Hivi Jide kafanya nini cha ziada pale alipoimba na zuchu? Mi cjaona km zuchu kapishana chochote materially na huyo jide kwenye performance ile...kila mtu kaimba verse moja tn kwa kurelax tu.
 
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake. Kuna wengine na degree zao wanapigwa mchana kweupee, wanaambiwa lipa pesa Yesu anakuja. Yaani maisha haya baba we yaache tu.
Hahaha

Ova
 
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake. Kuna wengine na degree zao wanapigwa mchana kweupee, wanaambiwa lipa pesa Yesu anakuja. Yaani maisha haya baba we yaache tu.
dah! punguza ukorofi mkuu.
 
wapo hiyo hela ni ndogo sana.
Tatizo lako ni kama mwendaake alishangaa kule Selous kulala siku moja ni milioni 6, eti akaagiza TRA wakachunguze, vipi ripoti ya mwendazake mmeshaipata.

Dar hela ipo sana tu, kriakoo kuna wachagga kwa siku anaingiza milioni 30 dukani, apo hajaweka hesabu za gofofa zake na mabasi, kama huna pita kushoto.
 
Waache watu mahaba yanawafanya kuwa vipofu huyo anayesema ni sawa na buku 5 yeye mwenyewe hajawahi kuishika hiyo 5m
 
Mkuu matumizi yanaendana na kipato hapa hupaswi kubisha. Kuna tofauti kati ya kuingiza pesa nyingi na namna ya kutumia hiyo pesa nyingi unayoipata. Kuna watu wanaspend aisee unaweza hisi hamna kesho. Kama mitoko tu ya kawaida ya starehe kuna raia zinamaliza milioni kwa siku how comes m5 kwa show kiwe kitu cha ajabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…