Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Kama anaingiza 5M kwa lisaa,je masaa 12 ataingiza million ngapi mkuu?Nimekukosoa kihalali kabisa.
Wewe ungekuwa sahihi kama ungeandika hivi. "Kama mtu anaingiza 5M kwa lisaa, kwa masaa 12 itakuwa 5M×12, kwa mwezi itakuwa 5M×12×30".
Ila wewe umeandika "Kama mtu anaingiza 5M kwa masaa 12, sasa hapa huwezi kuzidisha 5M×12. Sawa kijana?
Sasa ilibidi uandike hivi.Kama anaingiza 5M kwa lisaa,je masaa 12 ataingiza million ngapi mkuu?
Okay 5M×30..hii 30 ni masaa ama siku?Hesabu ya wapi hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo kwa usahihi ilipaswa uandike
5M×30= 150M.
Wewe unaonaje?Okay 5M×30..hii 30 ni masaa ama siku?
Okay nimesoma nimeona nimekosea mimi ki maandishi mzee,asante kwa kuniweka sawa.Sasa ilibidi uandike hivi.
Embu soma ulichokiandika hapa, na ulichokiandika hapo juu kama kuna mfanano.
KaribuOkay nimesoma nimeona nimekosea mimi ki maandishi mzee,asante kwa kuniweka sawa.
Kama huna hela ni ww tu boss...ndiomana kuna elf 50
Kuna watu hiyo million 5 ni hela anaingiza kwa saa..
Tatizo pesa jomba..trust melakini zuchu milion tano ? aisee bora nikale hennesy havoc huko....
Tatizo pesa jomba..trust me
Hapo mkuu ni simple tu...Brother tuwe realistic kidogo, wametarget jamii gani hawa jamaa ? daah kweli hela ni za kuwa nazo ndio mana napambania kombe kisawa sawa
Hapo mkuu ni simple tu...
Jamii ya kati na ya juu ndio target...ndio maana kiingilio kinaanzia 50k
Lakin kwa wale wapenda sifa madon,pia Kuna table yao ya 5M
Wasingeweza Target low classes,ukumbi usingetosha, alafu pesa ingekua mbuz tu.
Umeona sasa ukiwa na pesa [emoji3][emoji3]Yaaah hapo nimeelewa, manake nikiwaga na laki mbili naeka gari mafuta nazinguka dar yote nakula bia sehemu yoyote narud home nimeridhika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], maisha ni vile unavyoyachukulia tu aisee [emoji1787][emoji1787]
Umeona sasa ukiwa na pesa [emoji3][emoji3]