Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Kama anaingiza 5M kwa lisaa,je masaa 12 ataingiza million ngapi mkuu?Nimekukosoa kihalali kabisa.
Wewe ungekuwa sahihi kama ungeandika hivi. "Kama mtu anaingiza 5M kwa lisaa, kwa masaa 12 itakuwa 5M×12, kwa mwezi itakuwa 5M×12×30".
Ila wewe umeandika "Kama mtu anaingiza 5M kwa masaa 12, sasa hapa huwezi kuzidisha 5M×12. Sawa kijana?