Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Nimekukosoa kihalali kabisa.

Wewe ungekuwa sahihi kama ungeandika hivi. "Kama mtu anaingiza 5M kwa lisaa, kwa masaa 12 itakuwa 5M×12, kwa mwezi itakuwa 5M×12×30".

Ila wewe umeandika "Kama mtu anaingiza 5M kwa masaa 12, sasa hapa huwezi kuzidisha 5M×12. Sawa kijana?
Kama anaingiza 5M kwa lisaa,je masaa 12 ataingiza million ngapi mkuu?
 
Hiyo ni pesa ndogo sana kwa kwa nchi ya uchumi wa kati, tulia mdogo wangu ipo siku na wewe Mungu atakuona.
 
Wcb wamefumbua mgod wa kuvuna
Pesa

Alaf baada ya show zuchu anaambulia mil 3
 
Uzi wa kijana choka mbaya
Bila shaka ata hiyo elfu 50 utonunua ticket
 
Duh!!!,Watu wanachezea hela!!!!.Sisi wengine hiyo M 5,tunaisaka mwaka mzima na hatuipati,sasa mtu anaitupa tu wa masaa tu.Kweli duniani wako wanaoishi na tupo tunaosindikiza wengine.
 
Brother tuwe realistic kidogo, wametarget jamii gani hawa jamaa ? daah kweli hela ni za kuwa nazo ndio mana napambania kombe kisawa sawa
Hapo mkuu ni simple tu...

Jamii ya kati na ya juu ndio target...ndio maana kiingilio kinaanzia 50k

Lakin kwa wale wapenda sifa madon,pia Kuna table yao ya 5M

Wasingeweza Target low classes,ukumbi usingetosha, alafu pesa ingekua mbuz tu.
 
Yaaah hapo nimeelewa, manake nikiwaga na laki mbili naeka gari mafuta nazinguka dar yote nakula bia sehemu yoyote narud home nimeridhika 🤣🤣🤣🤣🤣, maisha ni vile unavyoyachukulia tu aisee 🤣🤣
 
Yaaah hapo nimeelewa, manake nikiwaga na laki mbili naeka gari mafuta nazinguka dar yote nakula bia sehemu yoyote narud home nimeridhika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], maisha ni vile unavyoyachukulia tu aisee [emoji1787][emoji1787]
Umeona sasa ukiwa na pesa [emoji3][emoji3]
 
Umeona sasa ukiwa na pesa [emoji3][emoji3]

Mkuu pesa ni ya kuwa nayo yan wanasema ni vitu vya kupita ila ikupitie ukiwa huna hela unakuwa kama zombie nikiwa sina hela nakaaga ndani sitak hata simu iite na wala sipend mtu aniongeleshe yan nakuwa mnyonge sana aisee daaah
 
Back
Top Bottom