Kwani hao wasanii wamekatazwa nao kuweka price Kama hizo kwenye show zao?Duh... Kama promotion tu mnajitahidi huyo zwichi sijui hafikii hata robo ya uwezo wa Nandi, maua, na wengineo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hao wasanii wamekatazwa nao kuweka price Kama hizo kwenye show zao?Duh... Kama promotion tu mnajitahidi huyo zwichi sijui hafikii hata robo ya uwezo wa Nandi, maua, na wengineo
Sio hatuna pesa hatuna ukichaa wa kutumia pesa kwa mpumbavu mmojaSema huna hela ndio maana unaongea hivyo
[emoji38][emoji38][emoji38]Kama ni kuangalia show tu hapana ila kama ni kuangalia show na kumpiga show labda
Unahitaji pia uwe KICHAA
Kati yako na yeye Nani mpumbavu?yeye ataingiza hela au wewe utakaebaki kupiga domo?Sio hatuna pesa hatuna ukichaa wa kutumia pesa kwa mpumbavu mmoja
kama lengo ni hili nakubali,na si ajabu ukakuta asipatikane hata mmoja wa kutoa 500k,but seat zitajazwa ili lengo litimie(branding).Its all about Branding my friend.
Leo zuchu akifanya show ya 5 million (VVIP tickets) hakuna promoter atakuja kumtaka Zuchu kwa dau la kipumbavu vilevile Kampuni zinazotoa deals mbalimbali lazima zitakuja na donge nono
Kwa maneno mengine Zuchu anaongezewa thamani na hii show yake , mind you its her first official show, sasa jiulize 3 to 4 years after atakuwa wapi!!
Mimi binafsi na mihela yangu siwezi kufanya upimbi huo asilani!Naona mmekazania tu 'waache waache' sijaona sehemu mkisema 'tuache' kwahiyo tufunge mzozo tu kama hapa hao watu hawapo basi na huko duniani hawapo pia
Hiyo hela si bora nishushe pornstar bongo nimdinye wiki nzima
Mkuu utaona unachoma kama unaingiza laki 5 kwa mwez.. Naongelea watu wanaingiza hyo 5M kwa saa Hadi siku..huez sema anachoma wakat kwa mwez anapiga ndefu..na hiyo 5m per day sio vibopa hao unawaita mapapaa..ni wahun tu wapo zao mtaan wanapiga hizo helaMkuu,kuingiza pesa,halafu ukazichome zaidi ya 5M per day,hizo mishe tuwaachie wenye madeal makubwa,kina Papaa na wengineo,vijana kama sisi ukichoma 5M per day,ni shida,unaweza toa machozi ya mamba
Jamaa anarahisisha mambo. Muulize yeye hapo ana sh. ngapi ukute hata buku ya kula hana.weka mfano wa hao madogo hata wawili tu.
Sasa unalinganisha viingilio vya viwanjani na huo ujinga.nedna kwenye website ya Barcelona angalia game yao na Napoli bei ya tiketi shngapi ???lizuri kinagharama aisee..unataka waweke sh2000 mzunguko au tukueleweje mleta m,ada
Ontario na Diva wa cloudsaweka mfano wa hao madogo hata wawili tu.
Bora wewe umeongea lenye kuelewekaNgoja niwasaidie kuweka maelezo na rekodi sawasawa. Ni kwamba kutakuwa na meza zenye viti kumi kumi, hizo meza zitakuwa na vinywaji vya aina na thamani nyingi na tofauti tofauti na vitafunwa (bites) pia. Ninyi watu kumi mnaweza kuchangia hiyo meza nakulipa kila mmoja wenu kiasi husika. Kwa mfano hiyo ya milioni tano (5 mil) mnaweza kuichangia watu kumi na kila mmoja wenu akatoa nusu milioni au 500,000/=. Hiyo ndiyo maana ya hizo bei kwa hiyo shoo. Lakini haikatazwi wewe mwenye mihela yako ukanunua meza moja na kuwakaribisha watu wako. Ni kweli 5m/= kwa Watanzania wengine au hata kwenye mashirika na ofisi mbalimbali za binafsi SIYO HOJA! Kazi kwenu.
Ukiondoa ule msemo wa "Life is too short" ni msemo gani mwingine uliojaa upumbavu ama kukupelekea kufanya maamuzi ya kipumbavu.Elf 50 au laki 1 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaeleweka, ila million 5 aise kwani naenda kumuona Niki Minaj au?
Zuchu yuko overpriced
Nimecheka sana mkuuMadrug dealer,wanasiasa wakubwa,wazee wa hela za kudownload kama hushpup,C.E.O wa makampuni makubwa hiyo hela kama wananunua karanga.
Ila sie wazee wa vitambulisho vya ujasiriamali vya elf 2O tusubirie show ya Lissu akitua uwanjani itakuwa bure.
Ha ha haJamaa anarahisisha mambo. Muulize yeye hapo ana sh. ngapi ukute hata buku ya kula hana.