Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Duh... Kama promotion tu mnajitahidi huyo zwichi sijui hafikii hata robo ya uwezo wa Nandi, maua, na wengineo
Kwani hao wasanii wamekatazwa nao kuweka price Kama hizo kwenye show zao?
 
Its all about Branding my friend.

Leo zuchu akifanya show ya 5 million (VVIP tickets) hakuna promoter atakuja kumtaka Zuchu kwa dau la kipumbavu vilevile Kampuni zinazotoa deals mbalimbali lazima zitakuja na donge nono

Kwa maneno mengine Zuchu anaongezewa thamani na hii show yake , mind you its her first official show, sasa jiulize 3 to 4 years after atakuwa wapi!!
kama lengo ni hili nakubali,na si ajabu ukakuta asipatikane hata mmoja wa kutoa 500k,but seat zitajazwa ili lengo litimie(branding).

maisha ni mahesabu,sio kuchelewa kulala.
 
Naona mmekazania tu 'waache waache' sijaona sehemu mkisema 'tuache' kwahiyo tufunge mzozo tu kama hapa hao watu hawapo basi na huko duniani hawapo pia


Hiyo hela si bora nishushe pornstar bongo nimdinye wiki nzima
Mimi binafsi na mihela yangu siwezi kufanya upimbi huo asilani!
 
wcb ni brand kubwa lazima wafanye mambo kulingana na thamani yao, nikupe mfano kidogo tu soda unayoinunua jero dukani kuna pahala unaweza inunua elfu 5 or 10 na ukienda mahala hapo watu wamejaa na soda mpaka zinapelea.

hebu acheni kuwaza kimaskini akati muda ungalipo, tafuteni hela then mambo kama hizi mtaziona za kawaida wala hamtoweza kuzianzishia uzi.
 
Mkuu,kuingiza pesa,halafu ukazichome zaidi ya 5M per day,hizo mishe tuwaachie wenye madeal makubwa,kina Papaa na wengineo,vijana kama sisi ukichoma 5M per day,ni shida,unaweza toa machozi ya mamba
Mkuu utaona unachoma kama unaingiza laki 5 kwa mwez.. Naongelea watu wanaingiza hyo 5M kwa saa Hadi siku..huez sema anachoma wakat kwa mwez anapiga ndefu..na hiyo 5m per day sio vibopa hao unawaita mapapaa..ni wahun tu wapo zao mtaan wanapiga hizo hela
 
Ngoja niwasaidie kuweka maelezo na rekodi sawasawa. Ni kwamba kutakuwa na meza zenye viti kumi kumi, hizo meza zitakuwa na vinywaji vya aina na thamani nyingi na tofauti tofauti na vitafunwa (bites) pia. Ninyi watu kumi mnaweza kuchangia hiyo meza nakulipa kila mmoja wenu kiasi husika. Kwa mfano hiyo ya milioni tano (5 mil) mnaweza kuichangia watu kumi na kila mmoja wenu akatoa nusu milioni au 500,000/=. Hiyo ndiyo maana ya hizo bei kwa hiyo shoo. Lakini haikatazwi wewe mwenye mihela yako ukanunua meza moja na kuwakaribisha watu wako. Ni kweli 5m/= kwa Watanzania wengine au hata kwenye mashirika na ofisi mbalimbali za binafsi SIYO HOJA! Kazi kwenu.
Bora wewe umeongea lenye kueleweka
 
Tatizo hapa sio hiyo 5ml,,, tatizo unaitumiaje. Sizani kama hiyo pesa haitoshi kumng'oa huyo mrembo, tena na unampeleka kwenye hotel moja safi, chumba full kiyoyozi... na atakuimbia hizo nyimbo zake na kucheza pia mkiwa wawili tu.... Chezea 5ml hakuna anayeweza kuikataa.
 
Elf 50 au laki 1 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaeleweka, ila million 5 aise kwani naenda kumuona Niki Minaj au?

Zuchu yuko overpriced
Ukiondoa ule msemo wa "Life is too short" ni msemo gani mwingine uliojaa upumbavu ama kukupelekea kufanya maamuzi ya kipumbavu.
 
Madrug dealer,wanasiasa wakubwa,wazee wa hela za kudownload kama hushpup,C.E.O wa makampuni makubwa hiyo hela kama wananunua karanga.

Ila sie wazee wa vitambulisho vya ujasiriamali vya elf 2O tusubirie show ya Lissu akitua uwanjani itakuwa bure.
Nimecheka sana mkuu
 
Back
Top Bottom