Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Nimesoma karibia comments zote,ila jamani kwa mtu ambae anapata pesa zake kihalali hawezi kufanya matumizi ya kipumbavu bila mrejesho wa maana.
Ila ni kama pesa za madili na upigaji mbona hiyo m5 ni mchongo mdogo sana.
 
Mkuu utaona unachoma kama unaingiza laki 5 kwa mwez.. Naongelea watu wanaingiza hyo 5M kwa saa Hadi siku..huez sema anachoma wakat kwa mwez anapiga ndefu..na hiyo 5m per day sio vibopa hao unawaita mapapaa..ni wahun tu wapo zao mtaan wanapiga hizo hela
Samahani kijana,unaweza niunganisha na hao wahuni?? Nami nipige hizo michongo
 
Mkuu,kuingiza pesa,halafu ukazichome zaidi ya 5M per day,hizo mishe tuwaachie wenye madeal makubwa,kina Papaa na wengineo,vijana kama sisi ukichoma 5M per day,ni shida,unaweza toa machozi ya mamba

Milioni Tano unakuwa umelipia Meza ya watu 10, hivyo ni laki Tano kila mmoja.

Acha uoga, mkiamua kujichanga mbona kawaida tu!
 
kwan ww ulivopata mtoto wa kwanza mbona ulienda kanisani na ukatoa ela ya kushukuru kwani hukuona bar au ilikuwaje???kila mtu anapenda kufanya anachopenda mkuu

usilazimishe tango liwe tikitiki maji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom