Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Sio vizuri hivyomkuu Mimi ni bahiri wapare wakasome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio vizuri hivyomkuu Mimi ni bahiri wapare wakasome
Bongo hii hakuna msanii wa kuweka kiingilio cha mil 5 kwa kichwa, hakuna.Walidai ni mtu mmoja mzee
Pesa ya mtu unampangia matumizi?
Akili za watanzania bwana....
Wewe vipi unazo pesa au tagubavu??Sasa nikitaja majina utawajuaje..We siku karbu mtaani mkuu...nitakuonyesha wote ukitaka... unachotakiwa kujua Watu wana hela...sio kila mtu tagubavu[emoji3]
Mbona wewe hujarithishwa hela kama ni jambo rahisi kiasi hichoYule Mo ana hela ya urithi...Waliotafuta wenyewe hawana muda huo..Rostam au Bakhresa watasikiliza nachomeka kwenye tope kuwa serious kidogo
HahahaYule Mo ana hela ya urithi...Waliotafuta wenyewe hawana muda huo..Rostam au Bakhresa watasikiliza nachomeka kwenye tope kuwa serious kidogo
Nimecheka sana lakini nikakumbuka mbali mno ghafla nikahuzunika sanaMadrug dealer,wanasiasa wakubwa,wazee wa hela za kudownload kama hushpup,C.E.O wa makampuni makubwa hiyo hela kama wananunua karanga.
Ila sie wazee wa vitambulisho vya ujasiriamali vya elf 2O tusubirie show ya Lissu akitua uwanjani itakuwa bure.
"Tumia pesa ikuzoee"Ukiondoa ule msemo wa "Life is too short" ni msemo gani mwingine uliojaa upumbavu ama kukupelekea kufanya maamuzi ya kipumbavu.
kwanza hao wa vvip tiketi wananunua kwa koneksheni , yani tiketi ni diamond ndio anawakatia hiyo tiketi na kila siku asubuhi alfajiri diamond anawapigia simu kuwakumbusha show,Elf 50 au laki 1 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaeleweka, ila million 5 aise kwani naenda kumuona Niki Minaj au?
Zuchu yuko overpriced
Vipi unateseka?
Mie tagubavu tu kama ww mkuu[emoji3]Wewe vipi unazo pesa au tagubavu??
Okay tuseme anaingiza 5M kwa masaa 12 kila siku sio?Kama huna hela ni ww tu boss...ndiomana kuna elf 50
Kuna watu hiyo million 5 ni hela anaingiza kwa saa..
Yes mkuuOkay tuseme anaingiza 5M kwa masaa 12 kila siku sio?
5M × 12HRS= 60M
60M × 30DYS=....?
Hesabu ya wapi hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Okay tuseme anaingiza 5M kwa masaa 12 kila siku sio?
5M × 12HRS= 60M
60M × 30DYS=....?
Sipend wala sijui hesabu,hebu soma basi uelewe ukinikosoa unikosoe kihalali!Hesabu ya wapi hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo kwa usahihi ilipaswa uandike
5M×30= 150M.
Nimekukosoa kihalali kabisa.Sipend wala sijui hesabu,hebu soma basi uelewe ukinikosoa unikosoe kihalali!