Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Kiingilio cha zuchu 5M yaani kamzidi hadi wizKid alivyokuja Tanzania,
Utopolo huo, huyo ni wa 10,000/-
 
Sasa nikitaja majina utawajuaje..We siku karbu mtaani mkuu...nitakuonyesha wote ukitaka... unachotakiwa kujua Watu wana hela...sio kila mtu tagubavu[emoji3]
Wewe vipi unazo pesa au tagubavu??
 
Yule Mo ana hela ya urithi...Waliotafuta wenyewe hawana muda huo..Rostam au Bakhresa watasikiliza nachomeka kwenye tope kuwa serious kidogo
Mbona wewe hujarithishwa hela kama ni jambo rahisi kiasi hicho
 
Madrug dealer,wanasiasa wakubwa,wazee wa hela za kudownload kama hushpup,C.E.O wa makampuni makubwa hiyo hela kama wananunua karanga.

Ila sie wazee wa vitambulisho vya ujasiriamali vya elf 2O tusubirie show ya Lissu akitua uwanjani itakuwa bure.
Nimecheka sana lakini nikakumbuka mbali mno ghafla nikahuzunika sana

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Elf 50 au laki 1 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaeleweka, ila million 5 aise kwani naenda kumuona Niki Minaj au?

Zuchu yuko overpriced
kwanza hao wa vvip tiketi wananunua kwa koneksheni , yani tiketi ni diamond ndio anawakatia hiyo tiketi na kila siku asubuhi alfajiri diamond anawapigia simu kuwakumbusha show,
 
IMG_20200714_204722.jpg

Ulikuwa hujui?

Mimi ndiye Lokole haswa wala hujakosea.
 
Hizo ni mbwembwe tu lugha za kibiashara kwanza hata hiyo elfu hamsini akuna atakaye toa kwa mziki gani labda, zuchu mwenyewe show zake tu hajafikia kiwango cha kulipwa milioni tano, eti leo mtu atoe milioni tano kama kihingilio hizo chai zao wabakinazo hukohuko
 
Kama huna hela ni ww tu boss...ndiomana kuna elf 50

Kuna watu hiyo million 5 ni hela anaingiza kwa saa..
Okay tuseme anaingiza 5M kwa masaa 12 kila siku sio?
5M × 12HRS= 60M
60M × 30DYS=....?
 
Sipend wala sijui hesabu,hebu soma basi uelewe ukinikosoa unikosoe kihalali!
Nimekukosoa kihalali kabisa.

Wewe ungekuwa sahihi kama ungeandika hivi. "Kama mtu anaingiza 5M kwa lisaa, kwa masaa 12 itakuwa 5M×12, kwa mwezi itakuwa 5M×12×30".


Ila wewe umeandika "Kama mtu anaingiza 5M kwa masaa 12, sasa hapa huwezi kuzidisha 5M×12. Sawa kijana?
 
Back
Top Bottom