Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Mkuu utakua hujatenda haki kuhitimisha kwamba show ilikua mbovu kwa kusoma comments za watu ambao wanachojua wao ni kuponda usafini hata iweje.Nyie ndio mnawapoteza hao wana usafini ,kama wamefanya hovyo mkiambiwa ukweli mnasema ni chuki ,mbona watu wanasema kwamba mbosso aliperform vizuri why "Chuchu"? Mimi sijaangalia hiyo performance ya Zuchu kama ningeangalia ningetoa maoni ,mimi sio mnafiki siwezi kumsema vibaya zuchu coz sikuangalia na sina mda tena wa kupoteza kuiangalia kwenye youtube ili nitoe maoni "ITOSHE KUSEMA" maoni ya wadau waliyotoa yanatosha na nimeconclude kwamba Show za ZUCHU ilikuwa MBOVU.
Ingawa wanao sifia pia ni watu wanaosifia usafini hata iweje, lakini ingetosha kuangalia na kujiridhisha ili angalau maoni yako kuwa show mbovu yapate uhalali badala ya ku base na maoni ya wapinzani wa usafini unless otherwise na wewe ni wa upande wa pili