Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,097
Hahahaha ! Hivi kuna faida mtu akiwa maarufu jf? Afu mie ntakuwa nipo nyuma sana Nicas Mtei manake mpaka sasahivi ukiniambia nimtaje hata memba mmoja tu ambae ni maarufu jf tena chit chat simjui lol. Huwa naona wote tuko sawa !
:behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:
:behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:
hahahah, hivi na mimi ni maarufu? ngoja nianze kupandisha mabega Crashwise aka Supastaa wa JF...wewe ni mmojaawapo kati ya walio maarufu humu... ukienda siasani utawakuta wengine maarufu mfano Ritz, Matola, Crashwise, LiverpoolFC, n.k
hahahah, hivi na mimi ni maarufu? ngoja nianze kupandisha mabega Crashwise aka Supastaa wa JF...
Sema kama FACEBOOK hata hivyo husaidia kuondoa stress...Majukwaa yote yana heshima zake na kumekuwa na taratibu zinazoelekezwa; kwanza wakati wa kujiunga na JF na taratibu zingine za kila jukwaa. Pamoja na yote hayo, hapa CHIT CHAT tumekuwa na tatizo la kupost chochote kinachokuja kichwani kama wanafunzi.
hahahah, hivi na mimi ni maarufu? ngoja nianze kupandisha mabega Crashwise aka Supastaa wa JF...
Halafu mkono mmoja unashika suruwali karibu na sehemu za crashwise...watanikomabega moja liwe juu lingine liwe chini
Like ! Like !Ok, sasa naanza kukuelewa. Kumbe sasa hayo si mambo ya kitoto ni mambo ya kipumbavu. Hakuna mtoto anayeweza kumzushia mtu kifo, ni mpumbavu tu ndio anaweza fanya hivyo.
HUO NI UPUMBAVU SIO UTOTO!!
Hahahahaha ! Nicas Mtei utanifanya mwenzio nianze kuanzisha sredi za kipuuzi ili kujiongezea umaarufu lol! Nimekupata mwaya !wewe ni mmojaawapo kati ya walio maarufu humu... ukienda siasani utawakuta wengine maarufu mfano Ritz, Matola, Crashwise, LiverpoolFC, n.k
Hahahaha! Afu usisahau kujibandika na plasta usoni ili kukolezea vizuriHalafu mkono mmoja unashika suruwali karibu na sehemu za crashwise...watanikoma
Hahahahaha ! Nicas Mtei utanifanya mwenzio nianze kuanzisha sredi za kipuuzi ili kujiongezea umaarufu lol! Nimekupata mwaya !
Upo my dia! Miss you! Sijakuonapo.
hili linatosha staki lingine kwani najua madhara yake
wewe ni mmojaawapo kati ya walio maarufu humu... ukienda siasani utawakuta wengine maarufu mfano Ritz, Matola, Crashwise, LiverpoolFC, n.k
Kha ha ha ha ha haaa!! Wakati fulani nimekuwa na wakati mgumu kulijua vema jukwaa hili la Chit-Chat maana nikiwaangalia na kusipitia post za member baadhi hakika unaweza ukajikuta katika dimbwi la mawazo! Nasema hivyo kwa sababu ya maneno member anayefikiri na kupoteza muda halafu eti unamkuta kasema R I P wana chit chat wote! Nikajiuliza heshima ya hili neno sasa tuliweke wapi? Na hapo ndipo nikajua labda tumeingiliwa na watoto wa kitabu cha uso FB na ndio wanawafanya member wakongwe wajichanganye! Angalizo kwangu ni moja kwa Mods maneno ambayo hayatupendezi jamii ondosha mara moja!
Nicas Mtei Karibu jukwaa letu mkubwa tulumbane mafisadi wasio na huruma kwa Watanzania walio huru kwa zaidi ya miaka 51 mpaka hivi sasa! Pumzisha kwanza jukwaa hili la Chit-Chat!
Ayaaaa!! Huo mkia watu watautafuna.. Shauri yako