Huo muda nitautoa wapi Nicas Mtei ?Ila ukiazisha thread kama za MzunguMndali usidhani kama nitakuvumilia...... nitakuchana
Huo muda nitautoa wapi Nicas Mtei ?
Hahahahaha ! Nicas Mtei utanifanya mwenzio nianze kuanzisha sredi za kipuuzi ili kujiongezea umaarufu lol! Nimekupata mwaya !
Sema suuuuu uone Nicas Mteihahahahahaha. Najua hauwezi
No! Yeye umri umeenda ana 72 kwasasa, ila wewe na umri huo wa 21 usipocheka utafanana nae!Kwahiyo alikuwa hivo kwasababu hakuwa anachekaga
Sema suuuuu uone Nicas Mtei
Hahahaha! We si ungesema tu afu uone !Suuuuuu ndo mdudu gani?
Hahahaha! We si ungesema tu afu uone !
MzunguMndali!
Suali la nyongeza??
Ndo nini hcho?