Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa...!
Hebu nitake radhi Sweetlady; nani kakwambia nina 21, ama kweli akutukanae hakyuchagulii tusiNo! Yeye umri umeenda ana 72 kwasasa, ila wewe na umri huo wa 21 usipocheka utafanana nae!
Dah asante sana!Erickb52 nimepata salam zako na nashukuru sana. Pokea tani moja ya salam kutoka kwangu na kwa shemejio Mamzalendo
Dah asante sana!
Nawe pokea salamu toka kwa Kipipi a.k.a ki honey
Teh huwa najiuliza Kipipi ina maana gani? Dah hivi ndio lilikuwa la bibi yako eeehh
Hehe Kipipi madhara ya kuactivate memory sio makubwa km ya starter.Ukiona hivyo ujue maisha magumu, watu tunakesha kuhesabu kenchi za nyumba! lol
Wenzio wanaactivate starter we unaactivate memory??
Unajua madhara yake??
Mh ngumu kutabiriHilo ndo jina langu halisi eti!
Kwani we ukijaribu kutafakari huwa unapata picha gani?