love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Einstein kwenye kitabu chake akiwajibu hundred authors against Einstein anasema "If I was wrong one could be enough" akiwa na maana kama ningekuwa siko sahihi basi mtu mmoja tu angetosha kuni-prove wrong.
Alisema hakutegemea mamia ya watu ili kumprove wrong bali fact moja tu inatosha kumprove wrong na kuonesha makosa yake.
Licha ya threads zaidi ya 1000 kuanzishwa jukwaani hapa lakini bado zimefeli ku-prove ubaya wa Magufuli na kuonyesha
udhalimu na ukatili Magufuli aliofanya kwa uthibitisho.
Kama asemavyo T. Shakur "truth is too plain to see" rivals wake kuanzia upinzani, CCM, bungeni, wanaharakati, mitandao ya kijamii,
hata mataifa ya magharibi bado wamefeli kuprove ubaya wa Magufuli.
Inahitajika thread moja tu yenye facts kuprove ubaya wa Magufuli na sio thread 1000 kama sasa.
Kama kweli Magufuli ni mkosaji basi nilitegemea mtu mmoja tu angetosha kuonyesha ubaya wa Magufuli kwa fact
na sio hearsay.
NB: Tumhukumu Magufuli kwa facts na sio porojo.