Threads 1,000 hazitoshi ku-prove ubaya wa Magufuli bali fact moja tu

Kama huyo rais bado anaweza kuamua maamuzi yake na hakuna wa kumuzuia ni yaleyale tu.

Yaani anaamua kujenga ukuta kwa gharama kubwa kipindi Cha miaka 4,anaamua mataifa Fulani wasikanyage USA kwa chuki zake binafsi,ndo taasisi imara?
Au ikifanyika kwa wazungu sawa?
 
Jambazi hawezi kuona ubaya wa ujambazi wa jambazi mwenzie.

Kuna MTU amekumbushia kauli ya Magufuli humu: MTANIKUMBUKA KWA MEMA SI MABAYA.
Hata mwamba kama ni tuhuma anazo kuhusu wangwe mbona hamuiti ni jambazi.
 
Wewe ndio hujaelewa
Wewe hujaelewa kwamba kusema "wewe hujaelewa" bilq kuonesha sijaelewa wapi ni dai lisilo na uthibitisho.

Thibitisha sijaelewa, wapi, kivipi na wewe unayeelewa sijaelewa unajuaje umeelewa na hujalewa.
 
Si vizuri kuiponda awamu ya 6.
 
Hata shetani ni maarufu mana misa zote kanisani haziishi bila kutajwa. Ishu ni je huko kutajwa anatajwa kwa yapi?

ni shobo zao tu,maana siku ya mwisho kila mtu atachomwa kwa dhambi zake wala hakuna sehemu shetani atachomwa kwa niaba ya kima.
 
wewe ni dunderhead! hakuna proof inayohitajika kwani hapa sio mahakamani wala darasani kwamba wanaandika mtihani! kwanza jitu lishajifia linateketea Jehanamu! basi watu wanaoffload pentup frustrations zao na kushukuru divine intervention iliyoliondoa mapema: period.
 
Kila mwanadamu ana mazuri yake na mabaya yake sasa ukiamua kuangalia moja tu mgogoro ndio unaanzia hapo.....

Duniani tunafanya vitu kwa mazoea hivyo akija mtu kutambulisha utaratibu mpya lazima tumtafutie njia ya kumtoa....

Watu wenye nia njema mara nyingi humalizwa mapema ili mazoea yaendelee....
 
Kati ya watoto wanaofia tumboni na huyo mwenye 60yrs nan kafa mapema?
Acha kufantasize jehanam ni imagination kwenye kichwa chako tu.
 
Wewe hujaelewa kwamba kusema "wewe hujaelewa" bilq kuonesha sijaelewa wapi ni dai lisilo na uthibitisho.

Thibitisha sijaelewa, wapi, kivipi na wewe unayeelewa sijaelewa unajuaje umeelewa na hujalewa.
Usijaribu kufanya mambo yaoenake complex,
Maelezo yako bayana.
 

Si umfuate huko aliko. Hivi wewe hujakwapuliwa account yako Benki?
 
Kwa hiyo uonavyo Marekani na Tz ni sawa tu! Taasisi ovyo kama huku.
 
Usilazimishe hoja.

Maelezo gani yako bayana? Kivipi? Kipimo cha kuwa bayana ni kipi?
It seems you prefer logical argument and that is the good news.
The bad news is that you don't know the scope of logical thinking.
Unapaswa uelewe mtoto anaelewa kabla ya kujifunza uelewa.
 
It seems you prefer logical argument and that is the good news.
The bad news is that you don't no the scope of logical thinking.
Unapaswa uelewe mtoto anaelewa kabla ya kujifunza uelewa.
Wewe kwanza jifunze tofauti ya "don't know" and "don't no" kabla ya kujitutumua kubishana nami.

Magufuli was a country bumpkin.

 
Na ushahidi wa hio fact hawataupata kwasababu alishachomoa file lake kule mirembe, ata Dialo anajua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…