Kama huyo rais bado anaweza kuamua maamuzi yake na hakuna wa kumuzuia ni yaleyale tu.Very simplistic. Marekani kuna maamuzi ya Rais (executive) ambayo ni kwa muda mfupi wa dharura na ya Legislative (bunge-congress/senate) ambayo ni ya kudumu. Rais akitaka kufanya mabadiliko ya uhakika lazima serikali yake iwasilishe na kutetea mapendekezo yake mbele ya wawakilishi wa wananchi.
Rais anaweza kubadilisha maamuzi ya Rais aliyetangulia (executive) lakini sio yaliyopitishwa na congress/senate au mahakama. Ndio taasisi imara zinavyofanya kazi.
Tanzania ni Rais pekee ndiye mwenye maamuzi yote jinsi anavyotaka na anavyojisikia kutegemea ameamkaje.
Yaani anaamua kujenga ukuta kwa gharama kubwa kipindi Cha miaka 4,anaamua mataifa Fulani wasikanyage USA kwa chuki zake binafsi,ndo taasisi imara?
Au ikifanyika kwa wazungu sawa?