Ponjoro
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 442
- 396
Lete data zilizotimia ndugu yangu...siyo unaandika tu!!! Data zako hazieleweki, mara 500 mara 467...mimi nimesema hakufika hata 400! Prove me wrong...Kweli nilikosea ronaldo de lima haja fika 500 ana 467 katika mechi 600
Na wewe unasema 400, haja fika umeanza lini ungo!!?
Na ndo sababu ya bias zako kila mchezaj una mdharau na kumshusha
Halaf kumbuka zaid ya wachezaji 27,wamefikisha magoli 500,na kuzid lakin 1000 hawakutia maguu
Muheshim Pele wew usimfanishe na Messi
Kwa data hizi za kuweweseka, wewe ndiyo unatakiwa ukanywe dawa!
Alamsiki!!!
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app