Three greatest of all time 'mou left out Cristiano Ronaldo'

Kweli nilikosea ronaldo de lima haja fika 500 ana 467 katika mechi 600
Na wewe unasema 400, haja fika umeanza lini ungo!!?

Na ndo sababu ya bias zako kila mchezaj una mdharau na kumshusha

Halaf kumbuka zaid ya wachezaji 27,wamefikisha magoli 500,na kuzid lakin 1000 hawakutia maguu

Muheshim Pele wew usimfanishe na Messi
Lete data zilizotimia ndugu yangu...siyo unaandika tu!!! Data zako hazieleweki, mara 500 mara 467...mimi nimesema hakufika hata 400! Prove me wrong...
Kwa data hizi za kuweweseka, wewe ndiyo unatakiwa ukanywe dawa!
Alamsiki!!!

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Personal information
Full name Ronaldo Luís Nazário de
Lima
Date of birth 18 September 1976 (age 39)
Place of birth Rio de Janeiro, Brazil
Height 1.83 m (6 ft 0 in)
Playing position Striker
Youth career
1990–1993 São Cristóvão [1]
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
1993–1994 Cruzeiro 14 (12)
1994–1996 PSV 46 (42)
1996–1997 Barcelona 37 (34)
1997–2002 Inter Milan 68 (49)
2002–2007 Real Madrid 127 (83)
2007–2008 Milan 20 (9)
2009–2011 Corinthians 31 (18)
Total 343 (247)
National team
1993 Brazil U17 7 (5)
1996 Brazil U23 8 (6)
1994–2011 Brazil 98 (62)
Hizo data zake nimezitoa wikipedia ambapo kashinda magoli 247 kwenye mechi 343 za klabu zote alizocheza na taifa kashinda 73 hapo nimejumlisha mpaka za Under 17 ili walau akaribie data zako hata hivyo bado hajafikisha hata 350 , lete data zako! Hukawii kusema wanadanganya hawa...ukisema hivyo, naomba ulete ulizoandika wewe!!!

Hahaa alaf alitoka kusema fifa nawakubali, sasa na hapo atasema fifa wazushi , mtu unapojadiliana watakiwa kujipanga kweli kweli na sio kuropoka tu, mara anakuja na data sijui de lima eti anamagoli zaidi ya 500 mara nimekosea ni 400, alaf ukimgoogle huyo lima mwenyewe hafikishi hata 400.data izo anazitolea wapi huyu? Au kuna wikipedia nyingine mkuu zaidi ya hii tuijuayo?
 
Ni mapenzi tu ndiyo yenye uwezo wa kumfanya mwenye uwezo wa kuona akawa kipofu, kusikia akawa kiziwi na kusema akawa bubu, vilevile humfanya mtu mkweli kuwa muongo!!!
Ni mapenzi yake kwa Cristina ronaldo ndiyo yamemfanya akwa hivyo...

Nikweli Man,
 
Lete data zilizotimia ndugu yangu...siyo unaandika tu!!! Data zako hazieleweki, mara 500 mara 467...mimi nimesema hakufika hata 400! Prove me wrong...
Kwa data hizi za kuweweseka, wewe ndiyo unatakiwa ukanywe dawa!
Alamsiki!!!

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Brazilian Ronaldo, also known as "El Fenomeno", scored a total of 405 goals in his professional club playing career. For his country he found the net 62 times, meaning he retired on
467 goals in 678 games. This gives an average of 0.68 goals per game or at least one goal every 1.45 games.
www.givemesport.com/363366-
 
Hahaa alaf alitoka kusema fifa nawakubali, sasa na hapo atasema fifa wazushi , mtu unapojadiliana watakiwa kujipanga kweli kweli na sio kuropoka tu, mara anakuja na data sijui de lima eti anamagoli zaidi ya 500 mara nimekosea ni 400, alaf ukimgoogle huyo lima mwenyewe hafikishi hata 400.data izo anazitolea wapi huyu? Au kuna wikipedia nyingine mkuu zaidi ya hii tuijuayo?
Nilikosea hilo nakubali na nilikosea mara moja
Nika badilisha nilicho zungumza
 
Ni mapenzi tu ndiyo yenye uwezo wa kumfanya mwenye uwezo wa kuona akawa kipofu, kusikia akawa kiziwi na kusema akawa bubu, vilevile humfanya mtu mkweli kuwa muongo!!!
Ni mapenzi yake kwa Cristina ronaldo ndiyo yamemfanya akwa hivyo...

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Bahat mbaya sikukujibu zikiwa bado za moto

Ila wewe una mapenzi makubwa hadi unakataa ukweli
Nimekwisha kwambia uzi huu ni endelevu na sitakuja kukubaliana na wewe hata iweje
(At least mpaka messi achukue World cup)
 
Brazilian Ronaldo, also known as "El Fenomeno", scored a total of 405 goals in his professional club playing career. For his country he found the net 62 times, meaning he retired on
467 goals in 678 games. This gives an average of 0.68 goals per game or at least one goal every 1.45 games.
www.givemesport.com/363366-

Inamaana wiki or enclo unazipinga? Inakuwaje unalazimisha kitu ambacho hakipo? Alaf eti fenomenon hahahaa..the Genuine Phenomenon is Armando Alone; No doubt
 
Si mmesema nilete data na mie nme leta!!?
Halaf kama mna taka mjadala uhamie kwa R9 mseme
Tuna weza fungulia hata uzi tuka uzungusha
 
Wewe ndo uwa nakuona kila uzi una lazimisha unacho amini
Na kila nitakapo kuona utapingwa hapo hapo

Nitapingwa pale nitakapoleta uongo kama wewe unavyotuzuga, mkuu ponjoro ametumia kila aina ya njia kukufahamisha but huwelewi tu,
 
Nitapingwa pale nitakapoleta uongo kama wewe unavyotuzuga, mkuu porojo ametumia kila aina ya njia kukufahamisha but huwelewi tu,
Wewe ndo huelewi na pia una leta porojo
Kila mlicho taka nimeleta
Sasa mi nime sema nlicho ki amini nika late na nilipo kitoa
Na wewe andika chako jama mjanja

Wewe huwezi nifahamisha mimi kwa kuwa na mimi nna fahamu

Imani yako hainendani na nncho amini mimi
Kwangu list ni ile ile
Pele
Maradona
Ronaldo

Sijabadilisha mawazo hapo
 
Bahat mbaya sikukujibu zikiwa bado za moto

Ila wewe una mapenzi makubwa hadi unakataa ukweli
Nimekwisha kwambia uzi huu ni endelevu na sitakuja kukubaliana na wewe hata iweje
(At least mpaka messi achukue World cup)

Sasa wewe unamkataa Messi kwa kigezo kipi? Mbona hatukuelewi mkuu? Ina maana germany,spain,Italy na brazil players ambao kombe limewakuta wakiwa ndani ya uwanja mpaka wale madifensi na magoli kipa ina maana na wao utasema ni bora kuwahi kutokea?

Ndio maana nikakuambia kigezo chako ni kombe la dunia tu wakati fifa na wadau wote ulimwenguni wanamtambua messi ndie bora, na ndie best player kutokea.. wewe tu umebakia humkubali messi, haya bwana tukuache na ronad wako
 
Rejea mijadala yangu huko mwanzo utajua kwa nini namkubali ronaldo
Halafu huwez sema nimebaki mie tuu ambaye simkubali messi huo ni uongoo tuko wengi tuuu
 
Wewe ndio ujui chochote kabisa.
1. Diego Armando Maradona
2. Leonel "king" Massijah
3. Pele.

Mourinho yupo sahihi sana. Unajua Ronaldo wa ukweli yaani di Lima pamoja na kucheza kote soka na vilabu vikubwa hakuwahi kushinda UCL! Huko hakumfuanyi asiwe mmoja kati ya washambuliaji wakali kutokea kwenye hii dunia.
Kula Kongole Mkuu....uko sahihi
 
Rejea mijadala yangu huko mwanzo utajua kwa nini namkubali ronaldo
Halafu huwez sema nimebaki mie tuu ambaye simkubali messi huo ni uongoo tuko wengi tuuu

Unamkubali kwa sababu tu timu yake imebeba euro,na sio yeye aliyebaba
 
Back
Top Bottom