Ooh basi mambo mukide mukideeeeUber ndio habari ya mjini, usihangaike ukaishia na drink driving charge, wacha tugawane ridhiki tuwape vijana wa Uber
Maryland inasonga badoHivi hilo chimbo bado lipo?
Kuna chimbo jingine lilikuwa linaitwa Igongwe....siku hizi halipo tena. Ila enzi hizo lilibamba sana!!
Kuna siku chache zilizopita DSTV nikaibabatiza Enter The Dragon ya Bruce Lee, Jim Kelly nikaiangalia yote. Nime-enjoy sana kwani zamani nilikuwa interested na zile ngumi tu kumbe kuna story behind!Hapo ndio huwa watu wananikosa mtaani nikishajifungia kutazama movie, zamani nikiulizwa hobby yangu kitu gani nilikua najing'atang'ata lakini sasa hivi kabla muulizaji hajamalizia sentensi ya mwisho, natamka MOVIE.
Nna mpango wa kurudia Series ya Homeland na In The Interest Of The National ( Hamiliton), bila kumsahau Largo Winch.
Wewe jamana bhana ndio maana kuna watu wanasema uko hapa tunakula wote vumbi! Kuna vijiwe unavijua hata sisi wala vumbi hatuvijui!
Hio mishkaki mbona mikavu hivyo si utakwamwa?!!! Ngoja nikupitishe hapo Coco Beach upate fillet mshkaki wa ukweli.Huu uzi wa wahengaaa pooh kwaherini
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ngoja nimalizie savvana yangu.View attachment 728664
Wewe jamana bhana ndio maana kuna watu wanasema uko hapa tunakula wote vumbi! Kuna vijiwe unavijua hata sisi wala vumbi hatuvijui!
Ha ha ha ha jamaa simuwezi. Anaweza kukutumia picha sasa hivi yuko Calabash jioni akatuma ya Drive gani sijui huko ATLNyani Ngabu humuwezi mzee wa intelijensia huyo, habari zote muhimu anazo. Ikija kwenye viwanja ndio usiseme.
Nafikri siku chache unazokaa huwa unazitendea haki starehe!Hahahahaaaaa!!
Mazee....mimi Dar ni mzawa! Sikuja ukubwani.
Nadhani wengi huwa hawalijui hilo. Wakiona na rep Ikungulyabashashi basi wanadhani mi Mkoromije!
Dar is my hometown! Born and bred!!!!
Hio mishkaki mbona mikavu hivyo si utakwamwa?!!! Ngoja nikupitishe hapo Coco Beach upate fillet mshkaki wa ukweli.
Hii mishikaki acha kabisaa ni mitamu sijui ina limbwataaaa hata sitak fillet naona haina ladha labda nunduuuHio mishkaki mbona mikavu hivyo si utakwamwa?!!! Ngoja nikupitishe hapo Coco Beach upate fillet mshkaki wa ukweli.
Ha ha ha ha jamaa simuwezi. Anaweza kukutumia picha sasa hivi yuko Calabash jioni akatuma ya Drive gani sijui huko ATL
Uber ndio habari ya mjini, usihangaike ukaishia na drink driving charge, wacha tugawane ridhiki tuwape vijana wa Uber
Maryland inasonga bado
Nafikri siku chache unazokaa huwa unazitendea haki starehe!
Jeez Kasie...umenifanya nicheke kama mwehu.....umepiga pale pale! Oh i wish i could turn back the hands of time!