Throwback Thursday...

Throwback Thursday...

Huu uzi wa wahengaaa pooh kwaherini

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Ngoja nimalizie savvana yangu.
IMG_20180328_001153.jpg
 
Hapo ndio huwa watu wananikosa mtaani nikishajifungia kutazama movie, zamani nikiulizwa hobby yangu kitu gani nilikua najing'atang'ata lakini sasa hivi kabla muulizaji hajamalizia sentensi ya mwisho, natamka MOVIE.

Nna mpango wa kurudia Series ya Homeland na In The Interest Of The National ( Hamiliton), bila kumsahau Largo Winch.
Kuna siku chache zilizopita DSTV nikaibabatiza Enter The Dragon ya Bruce Lee, Jim Kelly nikaiangalia yote. Nime-enjoy sana kwani zamani nilikuwa interested na zile ngumi tu kumbe kuna story behind!
 
Huu uzi wa wahengaaa pooh kwaherini

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Ngoja nimalizie savvana yangu.View attachment 728664
Hio mishkaki mbona mikavu hivyo si utakwamwa?!!! Ngoja nikupitishe hapo Coco Beach upate fillet mshkaki wa ukweli.
 
Wewe jamana bhana ndio maana kuna watu wanasema uko hapa tunakula wote vumbi! Kuna vijiwe unavijua hata sisi wala vumbi hatuvijui!

Hahahahaaaaa!!

Mazee....mimi Dar ni mzawa! Sikuja ukubwani.

Nadhani wengi huwa hawalijui hilo. Wakiona na rep Ikungulyabashashi basi wanadhani mi Mkoromije!

Dar is my hometown! Born and bred!!!!
 
Hahahahaaaaa!!

Mazee....mimi Dar ni mzawa! Sikuja ukubwani.

Nadhani wengi huwa hawalijui hilo. Wakiona na rep Ikungulyabashashi basi wanadhani mi Mkoromije!

Dar is my hometown! Born and bred!!!!
Nafikri siku chache unazokaa huwa unazitendea haki starehe!
 
Hio mishkaki mbona mikavu hivyo si utakwamwa?!!! Ngoja nikupitishe hapo Coco Beach upate fillet mshkaki wa ukweli.

Hmm!! Coco beach? Siku hizi pamefulia mbaya! Najuta hata kwa nini nilienda hapo!
 
Hio mishkaki mbona mikavu hivyo si utakwamwa?!!! Ngoja nikupitishe hapo Coco Beach upate fillet mshkaki wa ukweli.
Hii mishikaki acha kabisaa ni mitamu sijui ina limbwataaaa hata sitak fillet naona haina ladha labda nunduuu
 
Jeez Kasie...umenifanya nicheke kama mwehu.....umepiga pale pale! Oh i wish i could turn back the hands of time!

Hahahahaaa basi acha na mie niendelee kutabasamu kimya kimya nyuma ya keyboard.

Ingekuwa ni michezo ya kitoto ningesema nimekudalika kidali poo na umelala nacho au nimekubamba wakati tunacheza kombolela na ndo unazinga sasa. ...

Catch you.
 
Back
Top Bottom