Tiba/Dawa kwa mtoto au mtu kikojozi

Nina shukuru sana Sky Eclat. Ila nina omba kuuliza huwa wanapima wapi ADH ??.
 
mdogo wangu hebu kapimwe Ufanyaji kazi wa Figo na Antidiuretic hormone level.
Pia weka alarm ya kukuamsha kila baada ya saa 1 ili ukakojoe.kama saa1 ni kubwa basi punguza interval iwe hata dakika 40.
Pia usiache kuongea na tabibu mkuu ....Mungu yeye huwa hashindwi na jambo.
 
Mkuu.@MACHALE kwa kuwa hukuficha umesema wazi mimi nitaweza kukusaidia kukutibu hayo maradhi yako ya kukojowa kitandani ila kwanza fuata Ushauri wa Mkuu.@Sky Eclat ikiwa ushauri wake haukusaidia fuata ushauri wangu huenda ukakusaidia fanya hivi chukua ndevu za mahindi za kutosha chemsha ndani ya maji ya lita mbili uchuje na unywe glasi mbili kila siku asubuhi na jioni kwa muda wa siku 21.Usipo pona nitafute mimi ili nikupe Dawa ya kukutibu maradhi yako ya kukojowa kitandani na utapona kabisa unaweza kunitafuta kwa njia 2 njia ya kwanza ni Baruwa ya pepe Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com na njia ya pili waweza kuni add kwenye What's App yako au Viber Acount kwa hii namba yangu +905344508169 tupate kuzungumza live uguwa pole.


 
Nina shukuru sana Sky Eclat. Ila nina omba kuuliza huwa wanapima wapi ADH ??.

Urologist anaweza kukusaidia zaidi, nenda hospitali kubwa iliyokaribu na wewe, kama kuna hormone imbalance katika mwili wako utapewa dawa kuweza kuzibalance. Maji unayokunywa ni muhimu yalingane na maji unayo toa, kama unahisi unakojoa maji mengi kuliko uliyokunywa kunahatari ya kuwa dehydrated na mwili ukipungukiwa na maji hata msukumo wa moyo unapungua nguvu. BP ikiwa 78/46 kwa mfano iko chini sana. Kama umeona hilo ni tatizo ninakushauri upime BP kila mara.
 
Asante mkuu MziziMkavu nita fwaata ushauri wa ndugu Sky Eclat. Ikishindikana kama ulivyo nishauri Nita kutafuta.
 
"Mlaleo, post: 16435469, member: 5685kilala ukaota choo kipo mbele yako stuka ni mtego huo... amka upesi...[/QUOTE]

Hahaha ndugu Mlaleo ina bidi tufanye utafiti wa hali ya juu ili kugundua ninani anae tegesha hii mitego.
 
Dah akumbuka nikiwa kidato cha 5 nilipunguza ila kuna nyakat kila siku iendayo kwa Mungu lazima nijikojolee dah, unaota unakojoa chooni kabisa au kichakan kumbe kitandani afu ukimaliza TU unashtuka, duh ilibidi nikajieleze tu kwa mchungaji nikaombewa sikukojoa Tena hadi keo
 
Hahaaa mkuu ulivyo andika inaonekana ulikuwa ukisikitika sana wakati unapo amka na kujikuta katika halihiyo. Mchungaji alie kuombea duu nikiboko kweli. Ila sasa ngoja niku chokoze et kwasasa umeacha kabisa sindiyo ?? Sasa inabidi urudi nyumbani kwenu uka mnunulie mama yako magodoro yake uliyo yakata kwa mikojo. Sawa kijana.
 

hahaha umenifurahisha sana, ni kweli tatizo limeisha KABISA, ngoja nichukue ushauri wako maana nakumbuka alikua anasema utaishije na wenzako huko boarding
 
Kuna namba ya simu ya msabato mmoja nikiipata nitakuunganisha nae yeye hutumia tiba za miti shamba na Mungu atabariki utapona
 
Ngoja Mshana na Mzizi Mkavu waje kukupa tiba za asili.
 
pole
Asante sana ndugu Sky Eclat kwa ushauri wako mziri. Nita jitahidi kadiri iwezekavyo kufwaata uliyo nishauri.
mku
Pole ndg... me hii hali ilinitokea nakumbuka had naingia fm3.. ukweli hali hii inakufanya unakosa amani na mm nilikua napata wakati mgumu sana kipindi cha kwenda kusalimia ndugu...
Kwa mm SHUKRANI nazipeleka kwa wamasai.. maana nakumbuka siku nilokua nime kaa maskani akapita mmasai anauza dawa ikabidi nizuge... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€rafikii nna nna mdogo wangu ana miaka kama 5 bado anakojoa kitandani tuna msaidiaje aisee..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kumbe njemba lina 20yrs ila nilitumia mara moja t nikamaliza kila kitu
JARIBU KUWACHEKI
 
HABARI WANA JF

kwa wale woote wenye kusumbulia na tatizo la kukojoa kitandani iwe mtoto au mtu mzima dawa zipo tatizo hilo mungu akipenda huondoka ndani ya siku 3 tu pm
 
HABARI WANA JF

kwa wale woote wenye kusumbulia na tatizo la kukojoa kitandani iwe mtoto au mtu mzima dawa zipo tatizo hilo mungu akipenda huondoka ndani ya siku 3 tu pm
Kuna nini pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…