Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh sina la kusema zaidi ya kukupa pole.
pole sana,, usine aibu kwenda kw doctor maradhi ni ametumbia Mungu hujataka uwe hivo,, nenda ukachunguzwe zaidi upatiwe tiba,, kama ni mwanaume nenda kw urologist(wanaodeal n njia za mkojo za kiume) au pengine una upunguvu wa hormone ya ADH
Miaka 20Una umri gani mkuu?
Una tatizo lingine kwenye mwili wako ukiondoa hilo la kukojoa kitandani?Miaka 20
Pole kijana! Kwanza kabla ya kulala usiku usinywe maji mengi au vimiminika kwa kiwango kikubwa, hakikisha unajisaidia kabla ya kulala na jitahidi kuamka usiku ukojoe! Weka alarm ya masaa mawili maana hii itakusaidia pale itakapokuamsha ili ukakojoe! Vile vile kuna njia moja ya kiasili hivi ambayo kama utaiamini inaweza fanya kazi, maana naona hii njia kama ilishawasaidia baadhi ya watu maana ni hivi wewe kojoa kwenye kopo kisha chukua huo mkojo kaumwage barabarani..hapo hiyo kitu inakata!!![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Una tatizo lingine kwenye mwili wako ukiondoa hilo la kukojoa kitandani?
pole sana,, usione aibu kwenda kwa doctor maradhi ametuumbia Mungu hujataka uwe hivo. Nenda ukachunguzwe zaidi upatiwe tiba, kama ni mwanaume nenda kwa urologist (wanaodeal na njia za mkojo za kiume) au pengine una upungufu wa hormone ya ADH
Mkuu naamini tatizo lako hilo lipo kwenye sehemu za fahamu, yaani kwenye ubongo, hivyo ili kuondokana na tatizo hilo huna budi kujizoesha taratibu kuamka katikati ya usiku, kutokunywa vinjwaji usiku sana, pia epuka kunywa uji, soda, chai, pombe(kama unatumia) nyakati za usiku, kama unalala na ndugu yako mwambie awe anqkuamsha katikati ya usiku kama mara mbili au tatu hivi baada ya muda tatizo lako litaisha jumla.Tatizo lingine sina.
Asanteni sana ndugu zangu hakika najihisi nimwenye furaha, najihisi kupona kabisa. Hakika hakuna uwamuzi mzuri niliowahi kufanya kwenye maisha yangu kama kuwa elezea wana jf matatizo yangu. Kwani katika michango yenunina amini kuna dawa yaku niponya. Namimi nawa ahidi kufwata kanuni zote mlizo nishauri. Na baada ya miezi miwili Nita leta mrejesho hapa.
Nawashukuru sana walio guswa na tatizo langu na kunipa pole au ushauri, sinchakuwalipa ila naamini mungu atawalipa. Ninajua mmetumia muda wenu kuni tafutia mimitiba nandio maama nasema ASANTENI SANA.
Mkuu endelea kupitia Uzi huu dawa za tatizo lako zipo nyingi, ngoja wengine watakuja kukusaidia. Kuna ile ya kunywa maji ya mchele, kula asali nk.