Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,527
You cannot be serious mkuu.Kukojoa ni raha mwacheni mtoto afurahie maisha yake lamsingi mnunulieni ile nailoni ya kutandika kitandani akitengeza bahari kama wiki hivi ataacha mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You cannot be serious mkuu.Kukojoa ni raha mwacheni mtoto afurahie maisha yake lamsingi mnunulieni ile nailoni ya kutandika kitandani akitengeza bahari kama wiki hivi ataacha mwenyewe
Kwanini mkuu........You cannot be serious mkuu.
Tayari....[emoji15] [emoji15] [emoji15]Afu kuna wanawake watu wazima wanalalama kwa kushindwa kufanywa wakojoe
tayari niniTayari....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
PIA awe analala usingizi wa mchana.Habari za jioni
Nisiwachoshe ngoja nielekee kweny mada
Nna mtot wang wa Miaka 3, amekua akikojoa kitandan wakat akiwa amelala iwe mchana au usiku. Mwanzo nilifkir labda ni utoto tu lakin adi kufikia umri wa miaka mi3 nafikir ilibid awe ameacha.
Hivyo kwa anayefaham namna ya kumdhibit ili aache kukojoa maana magodor yanaharibika sana,
natanguliza shukrani
AhajmsudbdvsjskgdmdbxnxismsAfu kuna wanawake watu wazima wanalalama kwa kushindwa kufanywa wakojoe
Pole sana Mkuu!! Kuna cku nilikuwa wilaya ya Namtumbo kikaz, xo kuna cku ilo tatizo lako kuna jamaa akawa anatuambia dawa yake alituambia ni Ndizi Mbichi bt nashindwa kukumbuka unaitumiaje iyo ndiz kama dawaHabari za jioni
Nisiwachoshe ngoja nielekee kweny mada
Nna mtot wang wa Miaka 3, amekua akikojoa kitandan wakat akiwa amelala iwe mchana au usiku. Mwanzo nilifkir labda ni utoto tu lakin adi kufikia umri wa miaka mi3 nafikir ilibid awe ameacha.
Hivyo kwa anayefaham namna ya kumdhibit ili aache kukojoa maana magodor yanaharibika sana,
natanguliza shukrani
Asante sn Mkuu nmekuelewa vyemaPole kwa tatizo la mtoto wako, Kama wadau wengi waliochangia hapo Juu hakikisha unamjengea mazoea ya kumwamsha mara kwa mara na Akikojoa muonyeshe alichokifanya na madhara yake pia. Limit pia kiasi cha maji ya kunywa mara tu inapokaribia Jioni na Usiku. Naomba Uwapuuze wale wote wanaofanya utani kwa tatizo unalipitia kwa sasa sisi wazazi tunajua ni namna gani unavyoumia
Sawa mkuu najarib iyo dawa then ntaleta mrejesho, lakin bado nasisitiza kua co Mim ni mwanang mpendwa kwaiyo natafuta dawa ili aacheAnayekojoa ni ww but acha kumsingizia mtoto mm nakupa ila ni kwa manufaa yako na watu wengine watakao pitia thread hii
Nenda sokoni nunua ufuta mbichi unauzwa kama sh miatano tu anza kutafuna kutwa Mara tatu ndani ya siku mbili tu utaacha kabisa afu pia ufuta unasaidia kupunguza kujihisi haja kubwa ovyo ovyo
Ufuta ni kiboko mpaka sasa usha pona mkuu reta mrejesho hapa baada ya siku mbiliiii
Habari za jioni