Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Habari za Sabato!
Nilishakuambia Low key ndio mbinu ambayo itakusaidia. Danganyanisha kwamba upo broke. Lengo ni kuwa tajiri sio kuonekana kama tajiri.
Umetoka ukoo fukara. Unanuka Mavi ya maskini. Mawazo ya kimaskini kila mitaa. Sura zimechoka. Mavazi masurupwete na maronya ronya. Hao ndio ndugu, rafiki na jamaa zako wapo hivyo.
Alafu wewe ulivyochizi fresh. Unaonekana upo mambo safi. Mambo yanakuendea. Ukurutu wa umaskini unakutoka. Una glow tuu.
Upo kwenye high risk kama kukosoa serikali ya CCM. Shauri yako. Kumbuka muda wa kula hutakiwi kuongea. Wahenga walisema.
Nimemaliza kibabe.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam