Kuliko kuishi low key nashauri ishi normal life, maisha ya kawaida si low au high ni kawaida tu hii itakujenga sana na kukupa Imani kwa watu wengine kufanya KAZI na wewe. Kuna mzigo unakuja huna hela na unataka kuchukua unadhani ukiwa low key nani akuamini kukukopesha pesa?
Wakina diamond wamefanikiwa kupitia kudanganya maisha, wakaaminiwa, wakpewa mitaji mkubwa kwa kuaminiwa watarudishaa. Mkuu nafikiri inategenea na malengo Yako kama umeenda kijijini ishi low key ili wasikuloge ila ukitaka kutoboa zaidilazima upuul up hata kwenye level zisizo kua zako.
Nilipo kua Arusha kipindi kile Kuna lounge walikua ili uingize wanaangaliaa muonekano wako, kama viatu vichafu huiingii hata kama una hela, kama umekaa rafu huzamii mkuu, au bambalaga miaka hiyoo tupo chuo, huiingii kama muonekano wako si wakishua.