Tibeli Code: Ni hatari kuonekana tajiri katika mazingira yenye watu maskini

Habari za Sabato!

Nilishakuambia Low key ndio mbinu ambayo itakusaidia. Danganyanisha kwamba upo broke. Lengo ni kuwa tajiri sio kuonekana kama tajiri.

Umetoka ukoo fukara. Unanuka Mavi ya maskini. Mawazo ya kimaskini kila mitaa. Sura zimechoka. Mavazi masurupwete na maronya ronya. Hao ndio ndugu, rafiki na jamaa zako wapo hivyo.

Alafu wewe ulivyochizi fresh. Unaonekana upo mambo safi. Mambo yanakuendea. Ukurutu wa umaskini unakutoka. Una glow tuu.

Upo kwenye high risk kama kukosoa serikali ya CCM. Shauri yako. Kumbuka muda wa kula hutakiwi kuongea. Wahenga walisema.

Nimemaliza kibabe.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Leo nimesoma mpaka mwisho kwa sababu heading imenivutia.

Ni kweli kabisa mana Wanadamu wa leo hasa Watanzania wengi wana hali ngumi ya kimaisha. Furaha yao ni kusikia na kuona mtu amepata negatives ndio faraja yao. Ikitokea wamesikia au kuona mtu amepata positives basi roho zinawauma sana na wanaweza hata kukuhujumu bila kosa lolote, ilimradi tu mlingane!

Huwa nawashangaa watu wenye pesa kwenda kujenga sehemu wamezungukwa na maskini. Usalama ni mdogo sana. Yaani hata kama ulijenga sehemu za maskini ukiwa na wewe maskini, basi hakikisha unahama mitaa hiyo ukitajirika!

NB: Mimi ni maskini lakini ni mtu ambaye nimezisoma akili za wanajamii wa Tanzania maskini kwa matajiri hivyo hata nikiona maendeleo ya mtu simchukii kwa sababu maisha yangu ni ya kwangu na ya mwingine siyo ya kwangu. Pia, nikiwa na maskini ninayemzidi najitahidi kuigiza na nipo makini sana na kauli mana maskini hawakawii kusema unadharau.

Huwa natumia kanuni moja: Nina mipango yangu, hivyo sihitaji kutishika na mipango au maisha ya mtu!

Namalizia. Plato alisema: Migogoro haikwepeki kwenye jamii yenye matabaka.

Kwa maoni yangu, mgogoro ni mkubwa sana kati ya maskini na tajiri.
 
3CD6BEC4-41CF-4E5F-909A-F6D27FE446B8.jpeg
 
Habari za Sabato!

Nilishakuambia Low key ndio mbinu ambayo itakusaidia. Danganyanisha kwamba upo broke. Lengo ni kuwa tajiri sio kuonekana kama tajiri.

Umetoka ukoo fukara. Unanuka Mavi ya maskini. Mawazo ya kimaskini kila mitaa. Sura zimechoka. Mavazi masurupwete na maronya ronya. Hao ndio ndugu, rafiki na jamaa zako wapo hivyo.

Alafu wewe ulivyochizi fresh. Unaonekana upo mambo safi. Mambo yanakuendea. Ukurutu wa umaskini unakutoka. Una glow tuu.

Upo kwenye high risk kama kukosoa serikali ya CCM. Shauri yako. Kumbuka muda wa kula hutakiwi kuongea. Wahenga walisema.

Nimemaliza kibabe.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Ni kulogwa tu!
 
Either way kama hulindwi na damu ya Yesu maisha yako yapo hatarini
 
Habari za Sabato!

Nilishakuambia Low key ndio mbinu ambayo itakusaidia. Danganyanisha kwamba upo broke. Lengo ni kuwa tajiri sio kuonekana kama tajiri.

Umetoka ukoo fukara. Unanuka Mavi ya maskini. Mawazo ya kimaskini kila mitaa. Sura zimechoka. Mavazi masurupwete na maronya ronya. Hao ndio ndugu, rafiki na jamaa zako wapo hivyo.

Alafu wewe ulivyochizi fresh. Unaonekana upo mambo safi. Mambo yanakuendea. Ukurutu wa umaskini unakutoka. Una glow tuu.

Upo kwenye high risk kama kukosoa serikali ya CCM. Shauri yako. Kumbuka muda wa kula hutakiwi kuongea. Wahenga walisema.

Nimemaliza kibabe.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam

%✍️🤝
 
Nakubaliana. Lakini Kuna mazingira pesa haijifichi. Kwa mfano nimenunua Rav 4 yangu ya mwaka wa mbele! Yaani nitaachaje kwenda nayo home Christmas? Nibebe mke na watoto wangu! Njiani nisimame nitakavyo!
Halafu pesa mpaka kwenye sura inaonekana

Mbona mimi watu wananiona nina pesa wakati sina?

Ulichosema ni sahihi pesa ni ngumu kuificha. Ila wapo Manguli wa kuficha
 
Back
Top Bottom