Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Privacy ni muhimu
Kufanya Show off ni ujinga
Hii mada ni kama umeirudia mtibeli
Basi njoo kesho šOk ok šš½ View attachment 3701629
Ok ok šš½ View attachment 3701629
Kesho ndio siku ya saba sasaš¤Basi njoo kesho š
Kheeh yamekuwa hayo mr!Bora usije tuu niachie kande zangu
Kheeh yamekuwa hayo mr!
Toka nakufahamu unasoma kindergarten ukiwa unasoma, leo umeongea point...
Mtibeli shida ni kwamba je watu wanaweza kuepuka Temptations pale wanapopata pesa ? Maana kila mtu akizipata ana ile mentality ya Lazima wantambue. Hapo ndipo mtu anakaribisha envy, jealous, hatred just to mention few.
Mtibeli unakubaliana na mimi hata raia wa kawaida tu wawe mambo safi, Kuna mtu tu pale juu kwenye meza ya mamlaka akajisikia Hali ya wivu na chuki tu kwamba mbona raia hawa mambo safi?
Hahaha basi jumatatuKesho ndio siku ya saba sasaš¤
Basi nimeghairi siendi chechi, moja kwa moja hapo getoni, usiondoke na funguo basiKande la maziwa mgando ndio code ya kesho
Point moja tu ambayo nachukua hapo, ukiwa tajiri halafu unavimba mitandaoni ama kwenye jamii ambayo imejaa masikini, basi unatafuta matatizo..Kande la maziwa mgando ndio code ya kesho
Jumapili bnHahaha basi jumatatu
sawa tuJumapili bn