Tibeli Code: Ni hatari kuonekana tajiri katika mazingira yenye watu maskini

Low Key and Keep it down low ni muhimu sana kwenye maisha.
 
Kuliko kuishi low key nashauri ishi normal life, maisha ya kawaida si low au high ni kawaida tu hii itakujenga sana na kukupa Imani kwa watu wengine kufanya KAZI na wewe. Kuna mzigo unakuja huna hela na unataka kuchukua unadhani ukiwa low key nani akuamini kukukopesha pesa?

Wakina diamond wamefanikiwa kupitia kudanganya maisha, wakaaminiwa, wakpewa mitaji mkubwa kwa kuaminiwa watarudishaa. Mkuu nafikiri inategenea na malengo Yako kama umeenda kijijini ishi low key ili wasikuloge ila ukitaka kutoboa zaidilazima upuul up hata kwenye level zisizo kua zako.

Nilipo kua Arusha kipindi kile Kuna lounge walikua ili uingize wanaangaliaa muonekano wako, kama viatu vichafu huiingii hata kama una hela, kama umekaa rafu huzamii mkuu, au bambalaga miaka hiyoo tupo chuo, huiingii kama muonekano wako si wakishua.
 

Kuishi Low key maana yake ndio kuishi kawaida mkuu.

Hiyo Low usiitafsiri kwa tafsiri sisisi
 
Acha kila mtu aishi anavyotaka ,kwani maskini akifanya show off wewe inakuuma nini??
Kwanza hapa duniani ni mara yetu ya kwanza kuishi.!
Izo sheria labda tukutane nazo huko mbinguni..
 
Privacy ni muhimu
Kufanya Show off ni ujinga
Show off ni kama zipi?
Kwahiyo mtu asiishi kufurahia maisha yake kwa kuogopa macho ya watu.
Mi nashauri kila mtu aishi na kuji express atakavyo. Lengo lisiwe kujionyesha, lengo liwe kuishi maisha yako vile unataka na vile inakupa peace. Ila tu kwenye akili yako jua kwamba maisha yako si wengi wanayafurahia na watatamani ukwame japo wapo watakao kuwa geniunely happy na ur life cz utakua unawa inspire. So hao hutawaepuka sasa kwanini ujinyime raha ya maisha kwa kuhofia watu ambao kwenye grind yako hawachangii hata 10 mbovu?

Ishi vile unapenda.
Hayo mambo ya kujifanya masikini wakati una maisha ndio akili za kimasikini zenyewe

YOu lince once, live to the fullest. Fuc*k the haters. Live your dream life.
 
Acha kila mtu aishi anavyotaka ,kwani maskini akifanya show off wewe inakuuma nini??
Kwanza hapa duniani ni mara yetu ya kwanza kuishi.!
Izo sheria labda tukutane nazo huko mbinguni..
Precisely mkuu.
Nilichokuja kugundua stage za maisha zinatu expose kwenye aina tofauti za mitazamo towards life. Wengine wanajikuta wanaogopa kuishi maisha yao kama mleta mada na wengine ndio tunafungua turbo za kuishi vile tunataka bila kumkera mtu wala kuvunja sheria, kukereka mtu akereke kwa kujitakia tu sababu ya wivu wake.
 
Watu wameweka formula kwenye kila kitu mkuu..!
Mpaka maisha yanakosaa maana sasa..!
Hawa ni kama motiveshino speakers.
Kila mtu aishi anvyoona inafaa kuishi..
 
Watu wameweka formula kwenye kila kitu mkuu..!
Mpaka maisha yanakosaa maana sasa..!
Hawa ni kama motiveshino speakers.
Kila mtu aishi anvyoona inafaa kuishi..
Very very strange kwakweli. Anyways, lakini kupanga ni kuchagua. Ila mimi siwezi kuishi kwa namna hii tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…