TIC, TAN-TRADE, EPZA, TTB & BRELA: Mrundikano wa Taasisi zinazofanya kazi zinazofanana

Embu watazame hawa
1. Anayetoa kitambulisho cha taifa
2. Anayetoa kitambulisho cha kupigia kura
3. Anayetoa passport
4. Anayetoa driving license

Hawa si wanapewa taarifa zinazofanana..!!!
Hii inchi ina mambo ya hovyo sana..hizo taasisi zingekuwa merged iwe moja tu...kupunguza mzigo wa uendeshaji...kodi itumike kufanya mambo mengine.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna NHC wanajenga nyumba..
Nssf wanajenga nyumba
Watumishi housing wanajenga nyumba..
 
Bureaucracy..... Ili mama aitwa mama lazima mlolongo uwe mrefu sasa tukifupisha huo mlolongo ataitwa dada na halitaki hata kulisikia hilo jina

"Nani kama Mama"
 
BRELA itoe hapo
 
Monopoly has long ago proven not to work so so well, kuwepo kwa taasis nyingi mfano vyuo inaleta ushindani wenye afya na pia mazingira ya ubunifi na benchmarking.
Tu
 
Ipelekwe wapi?
Kimbiji.

TanTrade inasajili makampuni?

TIC inasajili makampuni

EPZA inasajili makampuni?

TTB inasajili makampuni?

Ndo maana nikasema BRELA ipo moja pekee tofauti na shughuli za hayo mazimwi mengine
 
Dar es Salaam Institute of Technology, Arusha Techinical College, National Institute of Transport, Mbeya Tech (sijui sasa inaitwaje) nazo hizi zinafanya kazi inayofanana zingefanywa taasisi moja
Una ongea ushuzi Sasa na wee
Yaani unahoji dit na atc ,nit na mbeya tech zianfanya kaz ziNazo fanana HV ulisoma wapi babu [emoji1787]


Zote zinatoa Kos zilizo fanana zote Sasa uantaka wanafunzi wakajazane dit
 
Tuendeleeni kuzitaja ili waziunganishe pamoja..

1...PURA ,EWURA ,PBPA

2.TCAA na TAA iwe Taasisi moja.

3.TPA ,MSL na TASAC liwe shirika moja
 
MSD, maabara juu etc nao wamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…