Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Australia beeibi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua India ina vyuo vikuu vingapi? au mnadanganyana hapo kweye kijiwe cha ku-bet?University of california ambayo ni chuo kikuu kimoja ni kubwa kuliko vyuo vikuu vyote vya serikali Tanzania vikiunganishea..
Nashangaa bongo tulivunja vunja ardhi, muhimbili etc kupeana ulaji
India serikali imeunganisha vyuo vyote vya afya na kuwa chuo kikuu kimoja tu cha afya Aimss.. na vyuo vyote vya teknolojia kuwa chuo kimoja ju.. taifa kubwa ila vyuo vikuu vya uma vichache ila vya ukweli
Unajua hizo taasisi zinaingizia serikali kiasi gani kwa mweziNimekaa nikafikiri hapa TZ tuna taasisi nyingi za Serikali kuanzia
1. Tanzania Investment Centre (TIC) vs EPZA vs BRELA,
2.Tanzania Tourist Board (TTB) Vs TANTRADE,
3. Tanzania Employment Services Agency (TaESA) vs Public Service Recruitment Secretariat
Nyingi ya hizi taasisi zinafanya kazi almost sawa na sioni logic ya kuwa nazo zote. Ningependekeza zipunguzwe katika kubana matumizi na kuongeza ufanisi. Vinginevyo kuifanya Tanzania Middle Income country by 2025 itakuwa ni ndoto.
zinatumia kiasi gani kwa mwezi?
unajua India ina vyuo vikuu vingapi? au mnadanganyana hapo kweye kijiwe cha ku-bet?
Sekta binafsi ndo inapaswa kuwa mwajiri mkuuMkuu kwa huu ukosefu wa ajira mtaani, na unataka mashirika yapungue.. aisee, ni hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
How?Economic stimulus
Wacha nipongeze kwa mabaadiliko pale TFDAKwa sasa tutegemee Reforms kubwa sana
Mpaka leo nashindwa kuelewa kwa nini hatuna authority moja ya elimu hapa nchini. Fikiria kuna doploma chini ya TCU na degree chini ya NACTE na wanatumia vigezo tofauti. Mabadiliko yatakuja tu mtu fulani akitaka sisi wengine kama hatupo vile.nyingine ni Tanzania Commission for Universities (TCU), National Accreditation Council for Technical Education (NACTE) & Vocational Education & Training Authority (VETA).Wote na-deal na post-secondary education lakin wazee wakaona ngoja waunde sehemu za kutafuna posho za safar na vikao mfano VC wa Ardhi University, Member wa bodi TCU, NACTE & VETA. Tanzania Oyeeeeeee
Kuna vyeo, posho mafao na deals vitafutika. Usisahau V8Mpaka leo nashindwa kuelewa kwa nini hatuna authority moja ya elimu hapa nchini. Fikiria kuna doploma chini ya TCU na degree chini ya NACTE na wanatumia vigezo tofauti. Mabadiliko yatakuja tu mtu fulani akitaka sisi wengine kama hatupo vile.