Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fourth Industrial RevolutionArtificial Intelligence
Oooohhhserikali hii inataka ipate mtu kama kagame ili kunyoosha upuuzi uliomo ndani ya serikali
Vyuo having shida na ziko in a different location Ni kama shule za msingi secondariesDar es Salaam Institute of Technology, Arusha Techinical College, National Institute of Transport, Mbeya Tech (sijui sasa inaitwaje) nazo hizi zinafanya kazi inayofanana zingefanywa taasisi moja
Huku OSHA kule Workers Compensation Fund (WCF) mara NHIF yaani ni full vurugu
Utofauti wake upoje? Maana majukumu yao yamakaribiana..mkuu hizi zipo tofauti saaaaana
Hii comment kwa siku za leo nzuri sana.Wewe unafurahia kodi yote iishie kwenye mishahara badala ya kutuletea maendeleo?
Ukiritimba yaani beurocracy unaleta athari kwenye gharama zaidi kuliko hizo gharama za kifedha unazozitazama.kuondoa ukiritimba bila kuangalia gharama mkuu (imind) tuseme basi hata wizarani tugawe kila wizara mara 2? kwa mfano wizara ya JINSIA & WATOTO (tuwe na 1. JINSIA 2. WATOTO), mambo ya ndani tugawe mara 4 (1. POLISI 2. MAGEREZA 3. UHAMIAJI 4. WAKIMBIZI)?
Nimekaa nikafikiri hapa TZ tuna taasisi nyingi za Serikali kuanzia
1. Tanzania Investment Centre (TIC) vs EPZA vs BRELA,
2.Tanzania Tourist Board (TTB) Vs TANTRADE,
3. Tanzania Employment Services Agency (TaESA) vs Public Service Recruitment Secretariat
Nyingi ya hizi taasisi zinafanya kazi almost sawa na sioni logic ya kuwa nazo zote. Ningependekeza zipunguzwe katika kubana matumizi na kuongeza ufanisi. Vinginevyo kuifanya Tanzania Middle Income country by 2025 itakuwa ni ndoto.

watakosa ulajiUkiritimba yaani beurocracy unaleta athari kwenye gharama zaidi kuliko hizo gharama za kifedha unazozitazama.
Hivi kama TBS ni taasisi chini ya wizara viwanda na biashara ilihali TFDA ipo chini ya Wizara ya Afya. Je ukiziunganisha hizi taasisi utaunganisha na wizara iwe moja ili iweze kusimamia kwa ufanisi ama utaleta taasisi moja yeye wasimamizi wawili?
Hivi kama TBS ni taasisi chini ya wizara ya viwanda na biashara ilihali TFDA ipo chini ya wizara ya afya.
Je ukiziunganisha hizi taasisi utaunganisha na wizara iwe moja ili iweze kusimamia kwa ufanisi ama utaleta taasisi moja yeye wasimamizi wawili tofauti?
Vyuo vyote vikuu vingeunganishwa na kuitwa National University of Tanzania, Na vyuo vingine vingeitwa National Collages of Tanzania, n vyuo vya ufundi National Technical Collages of Tanzania