TIC, TAN-TRADE, EPZA, TTB & BRELA: Mrundikano wa Taasisi zinazofanya kazi zinazofanana

Dar es Salaam Institute of Technology, Arusha Techinical College, National Institute of Transport, Mbeya Tech (sijui sasa inaitwaje) nazo hizi zinafanya kazi inayofanana zingefanywa taasisi moja
Vyuo having shida na ziko in a different location Ni kama shule za msingi secondaries
 
kuondoa ukiritimba bila kuangalia gharama mkuu (imind) tuseme basi hata wizarani tugawe kila wizara mara 2? kwa mfano wizara ya JINSIA & WATOTO (tuwe na 1. JINSIA 2. WATOTO), mambo ya ndani tugawe mara 4 (1. POLISI 2. MAGEREZA 3. UHAMIAJI 4. WAKIMBIZI)?
Ukiritimba yaani beurocracy unaleta athari kwenye gharama zaidi kuliko hizo gharama za kifedha unazozitazama.

Hivi kama TBS ni taasisi chini ya wizara viwanda na biashara ilihali TFDA ipo chini ya Wizara ya Afya. Je ukiziunganisha hizi taasisi utaunganisha na wizara iwe moja ili iweze kusimamia kwa ufanisi ama utaleta taasisi moja yeye wasimamizi wawili?
Nimekaa nikafikiri hapa TZ tuna taasisi nyingi za Serikali kuanzia
1. Tanzania Investment Centre (TIC) vs EPZA vs BRELA,
2.Tanzania Tourist Board (TTB) Vs TANTRADE,
3. Tanzania Employment Services Agency (TaESA) vs Public Service Recruitment Secretariat
Nyingi ya hizi taasisi zinafanya kazi almost sawa na sioni logic ya kuwa nazo zote. Ningependekeza zipunguzwe katika kubana matumizi na kuongeza ufanisi. Vinginevyo kuifanya Tanzania Middle Income country by 2025 itakuwa ni ndoto.

Hivi kama TBS ni taasisi chini ya wizara ya viwanda na biashara ilihali TFDA ipo chini ya wizara ya afya.

Je ukiziunganisha hizi taasisi utaunganisha na wizara iwe moja ili iweze kusimamia kwa ufanisi ama utaleta taasisi moja yeye wasimamizi wawili tofauti?
 
Kupeana ajira na ulaji wa keki ya taifa kwa vigogo na watoto/ndugu zao.
 
Ukiritimba yaani beurocracy unaleta athari kwenye gharama zaidi kuliko hizo gharama za kifedha unazozitazama.

Hivi kama TBS ni taasisi chini ya wizara viwanda na biashara ilihali TFDA ipo chini ya Wizara ya Afya. Je ukiziunganisha hizi taasisi utaunganisha na wizara iwe moja ili iweze kusimamia kwa ufanisi ama utaleta taasisi moja yeye wasimamizi wawili?

Hivi kama TBS ni taasisi chini ya wizara ya viwanda na biashara ilihali TFDA ipo chini ya wizara ya afya.

Je ukiziunganisha hizi taasisi utaunganisha na wizara iwe moja ili iweze kusimamia kwa ufanisi ama utaleta taasisi moja yeye wasimamizi wawili tofauti?
watakosa ulaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyuo vyote vikuu vingeunganishwa na kuitwa National University of Tanzania, Na vyuo vingine vingeitwa National Collages of Tanzania, n vyuo vya ufundi National Technical Collages of Tanzania

University of california ambayo ni chuo kikuu kimoja ni kubwa kuliko vyuo vikuu vyote vya serikali Tanzania vikiunganishea..

Nashangaa bongo tulivunja vunja ardhi, muhimbili etc kupeana ulaji

India serikali imeunganisha vyuo vyote vya afya na kuwa chuo kikuu kimoja tu cha afya Aimss.. na vyuo vyote vya teknolojia kuwa chuo kimoja ju.. taifa kubwa ila vyuo vikuu vya uma vichache ila vya ukweli
 
Back
Top Bottom