TIC, TAN-TRADE, EPZA, TTB & BRELA: Mrundikano wa Taasisi zinazofanya kazi zinazofanana

TIC, TAN-TRADE, EPZA, TTB & BRELA: Mrundikano wa Taasisi zinazofanya kazi zinazofanana

Mawaziri zilipo TFDA na TBS wameagizwa kupeleka muswada bungeni taasisi hizo ziunganishwe
 
TFDA wana urasimu sio wa nchi hii. Malipo lukuki wakati mwingine kwa USD yaan ukitaka kuingiza dawa nchini/kusajili utajutraaa kuwajua. Mi-VX/Nissan Patrol inazunguka sijui Morogoro sijui Mwanza ukiuliza eti wanaenda kuandaa ripoti ya kusajili dawa yako.
 
Acheni hizo jamani mnataka sisi tukale wapi? kila mwaka tunapiga safari si chini ya 5 nje ya Tanzania (Kujifunza, semina na makongamano) kila baada ya miaka 3 tunapata mgao wa magari mapya, kasha tunauziana hayo ya "Zamani" ukitaka ufanisi kafungue kampuni wewe na mkeo si huku TIC wala TAN-TRADE.
Hahahah daah,.vipi siku hizi bado mgao wa magari upo??
 
Ziunganishwe hizo iundwe MAMLAKA ama BODI ya Maendeleo ya BIASHARA (TANZANIA BUSINESS AUTHORITY) vinginevyo kuwa na taasisi nyingi kunatuchelewesha.
 
Ziunganishwe hizo iundwe MAMLAKA ama BODI ya Maendeleo ya BIASHARA (TANZANIA BUSINESS AUTHORITY) vinginevyo kuwa na taasisi nyingi kunatuchelewesha.
Natumaini wenye maamuzi wanasoma na watafanyia kazi
 
Hao TFDA walikua wanapiga hela balaa research za kuunga-unga ili mtu apate hela. Safari za Ughaibuni eti kufanya inspection kwenye viwanda vilivyotengeneza dawa/bidhaa inayoombewa kibali jamaa wamezunguka dunia mkwere cha mtoto.
 
TFDA wapo vizuri safari kama zote. Same as NEMC watu wameporomosha mijumba balaa kwa trip za nje
 
Back
Top Bottom