jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Hii inchi ina mambo ya hovyo sana..hizo taasisi zingekuwa merged iwe moja tu...kupunguza mzigo wa uendeshaji...kodi itumike kufanya mambo mengine.Embu watazame hawa
1. Anayetoa kitambulisho cha taifa
2. Anayetoa kitambulisho cha kupigia kura
3. Anayetoa passport
4. Anayetoa driving license
Hawa si wanapewa taarifa zinazofanana..!!!
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app