hapa ni sawa na kusema kuna Mzumbe sec school, Ilboru sec school, Tabora boys sec school, Nsumba sec school, Musoma tech school, Moshi tech school, Tanga school etc.... zote ziunganishwe tuwe na shule moja tu!! aiseeeeDar es Salaam Institute of Technology, Arusha Techinical College, National Institute of Transport, Mbeya Tech (sijui sasa inaitwaje) nazo hizi zinafanya kazi inayofanana zingefanywa taasisi moja
Maana yangu hautitaji kuwa na watu wenye shahada moja lakini kitaaluma wako tofauti sana kutokana na chuo alichosoma. Hizo shule ulizotaja zinafanya mtihani mmoja hivyo Division one ya Mzumbe Sec na Division one ya Ilboru upeo wao wa uelewa unalinganahapa ni sawa na kusema kuna Mzumbe sec school, Ilboru sec school, Tabora boys sec school, Nsumba sec school, Musoma tech school, Moshi tech school, Tanga school etc.... zote ziunganishwe tuwe na shule moja tu!! aiseeee
Mkuu, kwani hizi ziko katika mkoa mmoja ? Huoni kuwa hivi ni vyuo vya ufundi katika mikoa hiyo ? Basi kwa mawazo yako, hata shule za Upili ziunganishwe maana unakuta wilaya moja inazo hata 50 !!!Dar es Salaam Institute of Technology, Arusha Techinical College, National Institute of Transport, Mbeya Tech (sijui sasa inaitwaje) nazo hizi zinafanya kazi inayofanana zingefanywa taasisi moja